johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mkuu katika uchaguzi ambao CCM walipaswa kuprove kuwa wanapendwa ndio huu na trust me ungekua ndio kifo cha upinzani.Kwa haya maandalizi ya CCM ninayoyashuhudia kila mtaa jijini Dar siamini kama Chadema na upinzani wanaweza kuambulia japo mitaa mitatu.
Endapo Chadema watafanikiwa kupata walau mitaa 10 jijini Dsm nitaamini kifo cha Ufipa bado kipo mbali sana......maana si kwa maandalizi haya ya kitanda kwa kitanda.
Niwatakie Dominica yenye furaha!
Upinzani wa Tanzania unajisemea wenyewe!Mkuu katika uchaguzi ambao CCM walipaswa kuprove kuwa wanapendwa ndio huu na trust me ungekua ndio kifo cha upinzani.
Mfano msingeongeza majina feki ya wapiga kura uchaguzi huu, uchaguzi uwe huru na haki, wafungulie mikutano ya kisiasa ili wapinzani wakose kisingizio alafu kama mnakubalika kama mnavyojinasibu mngeshinda kwa 90%+ hapo wapinzani wangepata sympathy gani tena kwa wananchi??
Shida hamjiamini.... Mmeanza figisu mapema, hapa nilipo kwa macho yangu nmeshuhudia majina 200+ ile tarehe 13 yakiongezwa na uongozi wa CCM ngazi ya kata, sasa vitu kma hvi vinashusha credibility yenu kudai mnakubalika na kuwa upinzani umekufa.
Political strategist wa CCM amefeli sana..... So hta mkishinda (maana kweli mshashinda kabla hta ya uchaguzi kwa hizi janja janja) bado watasympathize na upinzani kuwa wameibiwa na hamtoaminika kama kawaida na mtawapa kura za huruma siku uchaguzi ukiwa huru na haki.
Ushauri kwa upinzani msishiriki huu uchaguzi maana CCM imeshapanga kushinda kwa 90% so msipoteze muda na resources. Otherwise muitishe audit ya majina maana zaidi ya 40% ya majina ni hoax!!
Demokrasia ni ndoto kwa nchi za Afrika, acha muue upinzani tu siku mtauhitaji kuisimamia serikali mtakosa wa kuwasemea.
Kwa haya maandalizi ya CCM ninayoyashuhudia kila mtaa jijini Dar siamini kama Chadema na upinzani wanaweza kuambulia japo mitaa mitatu.
Endapo Chadema watafanikiwa kupata walau mitaa 10 jijini Dsm nitaamini kifo cha Ufipa bado kipo mbali sana......maana si kwa maandalizi haya ya kitanda kwa kitanda.
Niwatakie Dominica yenye furaha!
Hahahaaa...... Bwashee umekata tamaa kabisa!Evolution Bongo bado inaendelea.
Mkuu katika uchaguzi ambao CCM walipaswa kuprove kuwa wanapendwa ndio huu na trust me ungekua ndio kifo cha upinzani.
Mfano msingeongeza majina feki ya wapiga kura uchaguzi huu, uchaguzi uwe huru na haki, wafungulie mikutano ya kisiasa ili wapinzani wakose kisingizio alafu kama mnakubalika kama mnavyojinasibu mngeshinda kwa 90%+ hapo wapinzani wangepata sympathy gani tena kwa wananchi??
Shida hamjiamini.... Mmeanza figisu mapema, hapa nilipo kwa macho yangu nmeshuhudia majina 200+ ile tarehe 13 yakiongezwa na uongozi wa CCM ngazi ya kata, sasa vitu kma hvi vinashusha credibility yenu kudai mnakubalika na kuwa upinzani umekufa.
Political strategist wa CCM amefeli sana..... So hta mkishinda (maana kweli mshashinda kabla hta ya uchaguzi kwa hizi janja janja) bado watasympathize na upinzani kuwa wameibiwa na hamtoaminika kama kawaida na mtawapa kura za huruma siku uchaguzi ukiwa huru na haki.
Ushauri kwa upinzani msishiriki huu uchaguzi maana CCM imeshapanga kushinda kwa 90% so msipoteze muda na resources. Otherwise muitishe audit ya majina maana zaidi ya 40% ya majina ni hoax!!
Demokrasia ni ndoto kwa nchi za Afrika, acha muue upinzani tu siku mtauhitaji kuisimamia serikali mtakosa wa kuwasemea.
Kwa haya maandalizi ya CCM ninayoyashuhudia kila mtaa jijini Dar siamini kama Chadema na upinzani wanaweza kuambulia japo mitaa mitatu.
Endapo Chadema watafanikiwa kupata walau mitaa 10 jijini Dsm nitaamini kifo cha Ufipa bado kipo mbali sana......maana si kwa maandalizi haya ya kitanda kwa kitanda.
Niwatakie Dominica yenye furaha!
subiri kampeni zianze wakati hata wafias wao hawajajiandikisha.Sio rahisi chama cha siasa kufa mkuu by the way maandalizi sio lazma yaonekane huwez jua pengne wanafanya maaandaliz ya siri au kwa sabab ccm wanafanya hadharani unahis chadema mwaka hawashindi???
subiri kampeni zifunguliwe na chadema wazindue....hata kama watanyimwa uwanja wa kuzindua kampeni ila chadema navowafaham wanaweza ku
zindua hata juu ya mti na jiji lote likazizima mzee trust me utanipa jibu.....binadam ana hulka sana
Dar pia ina makauzu wanaweza kupata!Acha Ndoto Za Mchana.
Chadema hawapati hata kiti kimoja.
Wanatupiga umekalia kulazimisha wezi kuwepoKwa haya maandalizi ya CCM ninayoyashuhudia kila mtaa jijini Dar siamini kama Chadema na upinzani wanaweza kuambulia japo mitaa mitatu.
Endapo Chadema watafanikiwa kupata walau mitaa 10 jijini Dsm nitaamini kifo cha Ufipa bado kipo mbali sana......maana si kwa maandalizi haya ya kitanda kwa kitanda.
Niwatakie Dominica yenye furaha!
Binadam wanahulka sana mzeee haohao waliojiandkisha ndio wataichagua upinzani trust me mkuusubiri kampeni zianze wakati hata wafias wao hawajajiandikisha.
Kwa haya maandalizi ya CCM ninayoyashuhudia kila mtaa jijini Dar siamini kama Chadema na upinzani wanaweza kuambulia japo mitaa mitatu.
Endapo Chadema watafanikiwa kupata walau mitaa 10 jijini Dsm nitaamini kifo cha Ufipa bado kipo mbali sana......maana si kwa maandalizi haya ya kitanda kwa kitanda.
Niwatakie Dominica yenye furaha!
Muda wa kampeni bado usitie chumvi!Ni kweli Kwa sababu Kwa sababu chama chenu kinaruhusiwa kufanya kampeni na siasa wakati wengine wakikaaa hata kikao cha ndani ni shida