kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 6,066
- 7,554
Kweli kabisa, DAB lazima ahakikishe wanashinda kote ilikumfurahisha Boss wake, na wasimamizi wa uchaguzi lazima watangaze matokeo anayoyataka DAB ilikulinda ajira zao.Acha Ndoto Za Mchana.
Chadema hawapati hata kiti kimoja.