Endapo Chadema kitapata wenyeviti walau 10 wa serikali za mitaa 24/11/2019 jijini Dsm basi chama hicho hakitakufa karibuni

Acha Ndoto Za Mchana.
Chadema hawapati hata kiti kimoja.
Kweli kabisa, DAB lazima ahakikishe wanashinda kote ilikumfurahisha Boss wake, na wasimamizi wa uchaguzi lazima watangaze matokeo anayoyataka DAB ilikulinda ajira zao.
 
Acha mwenyekiti; hawapati hata mjumbe mmoja
 
Kumbe na wewe ni mwendawazimu miongoni mwavichaa? Unachoandika kila siku mwishoni mwa thread zako, kuwa maendeleo hayana chama una maanisha nini? Kumbe mnafki sana wewe, kuanzia leo nakublock nisikuone tena.
 
Kumbe na wewe ni mwendawazimu miongoni mwavichaa? Unachoandika kila siku mwishoni mwa thread zako, kuwa maendeleo hayana chama una maanisha nini? Kumbe mnafki sana wewe, kuanzia leo nakublock nisikuone tena.
Hahahaaa....... Bwashee umeshapanic

Maendeleo hayana vyama!
 
Yaani chadema wanaweza wasipate hata kiti kimoja maana upande wa pili wamejiandaa kupora...
 
CHADEMA hezi za Kikwete my frnd. Namogopa kinàweza kufa Kama NCCR. na Upinzani kushikiliwa na ACT na vitu vichache Sana 2020/25. Navyo NI kutoka ZNZ
 
Mnashindana na wafungwa mliowafunga gerezani kisiasa, wakati ninyi mko huru kujifanyia mtakacho,si mjitangaze kuwa mmepita bila kupingwa nchi nzima? mtaonekana kuwa na akili timamu,kuliko kushindana na wafungwa mliowafunga kwenye gereza la kisiasa pasipo huduma yoyote.
 
Yaani kwa wizi ulianzia kwenu mpaka kurudi chaguzi za ndani? Aisee hiki chama ni wezi kwelikweli
 
Nakuonea huruma dogo maana kila mtu aliye itabilia kifo cdm alitangulia yeye mbele ya haki, either kisiasa au kiroho
 
Hapo ndiyo dunia inawashangaa kabisa.
Yaani pamoja na figisu zoote bado wanajitapa kuwa wanakubalika kuliko upinzani ambao kimsingi wamefungwa mikono na kuzibwa midomo
 
Shida ni kuwa anaeamuna chadema wapate viti vingapi sio wananchi, sio tume ya uchaguzi ni serekali na ccm. So wataamua tu wawape vingapi hakuna anaejua kwa sasa. Kuwa mpole tu
 

Wakristo ni wanafiki sana!

Ana wish kifo kwa jirani yake

Hapo hapo anamtakia Dominika njema!

Yaani hizi dini,ni unafiki mtupu
 
Ndio mmepanga hivyo, haya Mashangazi wa Ruangwa wanawaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…