Endapo filamu za 18+ zikiruhusiwa kutengenezwa Tanzania, wimbi kubwa la kuaibisha makabila halitaepukika. Hili lisije tokea kabisa!

Endapo filamu za 18+ zikiruhusiwa kutengenezwa Tanzania, wimbi kubwa la kuaibisha makabila halitaepukika. Hili lisije tokea kabisa!

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Sipati picha kwamba itokee na haya mambo yapewe vibali kwamba filamu hizi zinaweza kutengenezwa kama ilivyo kwa nchi zingine, hali inaweza kuwa mbaya sana kikabila.

Nadhani itakuwa ni next level na itaathiri jinsi watu watavyokuwa wakionekana kwenye fikra za watu wengine kwenye suala zima la 6 kwa 6 kwa kuwalinganisha na waigizaji wanaotokea makabila yao wanaocheza hizo filamu.

Mfano, muigizaji wa kiume katokea huko kwa wangoni ama wamakonde ana umbile kubwa basi ndio watu watachukulia kwamba wangoni na wamakonde wote ndivyo walivyo, hata wenye size kawaida watadhaniwa wana mizigo.

Mfano, ikionekana muigizaji wa kiume ni msukuma ama kurya ana stamina na pumzi basi itakuwa generelized hivyo, hata wale wa kimoja chali wataonekana wana stamina sababu tu ni kanda ya ziwa.

Ikionekana muigizaji mmoja wa kike ni mtundu kitandani katokea tanga basi itakuwa generelized kuona mabinti wote wa kitanga ndivyo walivyo

Akionekana muigizaji mmoja wa kike kutoka sehem flan ana maji mengi basi wengi wataanza kuona mabinti wote wa huko wana maji mengi.

Akionekana binti wa singida au manyara kacheza filamu nyingi watu watajenga picha mbaya kwa mabinti wengine wa mikoa hio.
 
Umewaza nn mpk ukafikia kuja na uzi huu mkuu[emoji848]
 
Umewaza nn mpk ukafikia kuja na uzi huu mkuu[emoji848]
the bbc stuff that made whites and asians percieve any african to be like a donkey downstairs, its absurd perceiving the many to be the same from a few observed
 

Kijana kama huyu ukimueleza habari za Halmashauri fulani kupata hati chafu hawezi kukuelewa kabisa, kichwa kimejaa mawazo ya ngono!
 
Back
Top Bottom