Vijana makini wenye uwezo wa kutengeneza hoja mfano 1.Patrobas Katambi 2.Joshua Nassari 3.Godlisten Malisa 4.Tundu Lissu et Al Hawa wote wamepita mikononi mwa FAM, Huoni tutakwenda kukosa vijana makini wengine kama Hawa?Kuanzia 2004 - 2025 January taifa lilifaidika nini?
Kijana hutengenezwa na mfumo siyo mtuVijana makini wenye uwezo wa kutengeneza hoja mfano 1.Patrobas Katambi 2.Joshua Nassari 3.Godlisten Malisa 4.Tundu Lissu et Al Hawa wote wamepita mikononi mwa FAM, Huoni tutakwenda kukosa vijana makini wengine kama Hawa?
Sahihi, mfumo wa uongozi wa mbowe ndio umewatoa hao vijana tunaonufaika nao. Mfumo wa roporopo uanaharakati uchwara tutapoteza nguvu kazi ya taifa wengi.Kijana hutengenezwa na mfumo siyo mtu
Vijana makini wa kutengeneza hoja, refer BAVICHA iliyokuwa ikiongozwa na Patrobasi katambiLitanufaika na nini? Wakati yeye ndio atanufaika japo ataonekana ni mtu mwenye tamaa ya madaraka sana.
Tujikite kutengeneza hoja mkuuMleta uzi ni kibaka asiyejitambua.
Kwa maslahi mapana ya nchimbona mnataka sana ajiunge huko CHAUMA amewaambia?
Hata uenyekiti aliambiwa pumzika kwa heshima mkamdanganya kama hajajifunza kusikiliza wapambe ndio anaenda kutumbukia kwenye historia ya kina Lipumba,Cheyo,Mbatia na Mrema nyakati zimebadilika msije kumdanganya tena kwa makusudi au bahati mbaya mana matapeli mnamtumia ku push agenda zenu zionekana zina baraka zake hii akiingia kichwa kichwa legacy inaenda kupotea itaonekana kumbe ana uchu wa madaraka na si kingine tupo hapa kusubiriHabari wanaukumbi!
kujiondoa kwa CHADEMA uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 ni dhahiri shahiri ni pigo kwa taifa, hivyo basi lazima kupatikane jukwaa mbadala la kuandaa viongozi wa taifa hili kwa siku za mbeleni, mtu sahihi wa kufanya hivyo ni FAM, Sisi sote ni mashahidi katika uongozi wake alivyoweza kufanikiwa katika kuwapika vijana kikamilifu ndani ya chama chakr Cha CHADEMA na ndani ya CCM katika sekta ya uongozi na utawala bora kutokana na kipawa, ushawishi na uzoefu alionao katika siasa za Tanzania.
Kwa muktadha huo basi ni Imani yangu endapo atajiunga na wakunja ngumi β CHAUMMA taifa litakwenda kunufaika.
Kwa sasa huyo Mbowe anatengenezwa na mifumo ya Zitto KabweSahihi, mfumo wa uongozi wa mbowe ndio umewatoa hao vijana tunaonufaika nao. Mfumo wa roporopo uanaharakati uchwara tutapoteza nguvu kazi ya taifa wengi.
Hakudanganywa mkuu, licha ya kura zake kuwa chache ila umma ulishuhudi udogo wa GAP la kura baina yake na mpinzani wake, hivyo ushawishi alionao ni mkubwa sana na kwa wakati huu umeongezeka mara dufu.Hata uenyekiti aliambiwa pumzika kwa heshima mkamdanganya kama hajajifunza kusikiliza wapambe ndio anaenda kutumbukia kwenye historia ya kina Lipumba,Cheyo,Mbatia na Mrema nyakati zimebadilika msije kumdanganya tena kwa makusudi au bahati mbaya mana matapeli mnamtumia ku push agenda zenu zionekana zina baraka zake hii akiingia kichwa kichwa legacy inaenda kupotea itaonekana kumbe ana uchu wa madaraka na si kingine tupo hapa kusubiri
FAM ni master wa zitto kabwe, na siku zote master hampatii mwanafunzi wake mbinu zoteKwa sasa huyo Mbowe anatengenezwa na mifumo ya Zitto Kabwe
Sidhani hata Unaelewa ππ
Tatizo la FAM shule ndio Zitto Kabwe kapata Cheo kumzidi ππFAM ni master wa zitto kabwe, na siku zote master hampatii mwanafunzi wake mbinu zote
Muda wake umeisha. Mungu atainua wengine.Habari wanaukumbi!
kujiondoa kwa CHADEMA uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 ni dhahiri shahiri ni pigo kwa taifa, hivyo basi lazima kupatikane jukwaa mbadala la kuandaa viongozi wa taifa hili kwa siku za mbeleni, mtu sahihi wa kufanya hivyo ni FAM, Sisi sote ni mashahidi katika uongozi wake alivyoweza kufanikiwa katika kuwapika vijana kikamilifu ndani ya chama chakr Cha CHADEMA na ndani ya CCM katika sekta ya uongozi na utawala bora kutokana na kipawa, ushawishi na uzoefu alionao katika siasa za Tanzania.
Kwa muktadha huo basi ni Imani yangu endapo atajiunga na wakunja ngumi β CHAUMMA taifa litakwenda kunufaika.
Sio Lissu kaharibu mfumo wa kutengeneza vijana makini na kuingiza mfumo wake wa kutengeneza vijana watukana matusi?Cha msingi Lissu alimstaafisha siasa. Hayo mengine ni kujifariji
Hakika Mungu kwa ukuu wake atainua wengine kupitia FAM na CHAUMMA na Tanzania itakuwa imaraMuda wake umeisha. Mungu atainua wengine.