Kwa rasilimali alizokua nazo na nafasi aliyokua nayo akashindwa hata kwa margin kidogo ushindi ni ushindi na kushindwa nikushindwa pia hana ushawishi huo tena labda kama anamuua kufanya demage mwamba makandomakando ni mengi nankukimbia mdahalo credit alipoteza msije kumdanganya tena atafedheheka huo ni uhakika 100% hajapinduliwa ameshindwa kidemokrasia