Endapo hii ndoto inatoka kwa Mungu, basi hatuna budi kuliombea Taifa. Hatari itatokea karibuni

Kila mtu akiota anakimbizwa usiku alaf
Asubuhi atuambie tuliombe taifa bas hakuna tutachofanya zaid ya kua tunaombea ndoto za wat kila siku..
ulivimbiwa t na wali uloshindilia usiku mkuu.
na umeota katiba mpya sbbu unaiwaza muda mwngi na kuiongelea ..
 
Hii ni muvi ya Train To Busan imeelezewa mwanzoni kabla ya outbreak ya vile virusi havijafika mbali.

Change my mind
 
Kila mtu akiota anakimbizwa usiku alaf
Asubuhi atuambie tuliombe taifa bas hakuna tutachofanya zaid ya kua tunaombea ndoto za wat kila siku..
ulivimbiwa t na wali uloshindilia usiku mkuu.
na umeota katiba mpya sbbu unaiwaza muda mwngi na kuiongelea .
πŸ€”πŸ€”πŸ€” Tafsiri ya mimi ni nani na wa itikadi gani ipo kwenye hiyo ndoto.
 
Hao vijana wenye tishet nyeupe na maandishi mekundu lazima watakuwa bavicha tu
 
hayo maandish ambayo hujayaona ila rang ya nguo walizovaa umeoyaona maana yake kile kinachotakiwa na hao wanaoshangilia sio hicho wanachopigia kelele ndio maa mwisho ulisikia katiba mpya ipo agenda ambayo wameificha hapo vifuani ila katiba wanaitamka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…