Endapo John Mnyika atahamia CCM atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu "mfululizo" kuhamia chama tawala na wa 4 kwa muda wote

CCM kuna uhaba wa viongozi ndiyo maana wanachama wa CCM wanakesha wakiomba wapinzani wajiunge na CCM ili wawe viongozi wao.
 
Napenda tu kuwakumbusha wanasiasa na wananchi kwa ujumla kwamba endapo Katibu mkuu wa sasa wa Chadema mh Mnyika atafanikiwa kuhamia CCM basi atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu mfululizo kufanya hivyo.
Lakini pia atakuwa ni Katibu mkuu wa 4 katika orodha ya wanachama wa Chadema waliowahi kushika wadhifa huo kuhamia CCM.

Hadi sasa madaktari watatu waliowahi kuwa makatibu wakuu wa Chadema na kutimkia CCM ni Dr Amani Kabourou, Dr Mashinji na Dr Slaa.

Ikumbukwe kuwa JJ Mnyika hakuridhishwa na utaratibu uliotumika kumsajili mzee Lowassa Chadema kwa gharama ya kumpoteza Dr Slaa na alishafanya maamuzi kuwa akimaliza kipindi hiki cha ubunge anahamia CCM.

Endapo lengo la Mnyika litatimia basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa siasa za Ufipa na viunga vyake.

Mungu iponye Chadema.

Maendeleo hayana vyama!
Ukweli waliosema akili ni nywele hawakukosea kabisa,mtu na akili zako unakaa unatumia akili zako kidogo ulizonazo badala ya kufikiri mambo yako yenye afya kwa familia yako umawazia mambo ya mtu ambaye inawezekana hawazi hicho unachowaza wewe. Vijana wa tanzania mnatumia muda mwingi kuwaza mambo ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu si ndio mlikuwa mnasema hana lolote ni form six tuu hana degree? Nyie hata Dr mihogo akiwa huku mlikuwa mnasema ana PhD ya Canon tuu haina faida, Leo akikohoa mnapiga makofi na jiwe akikwama mawazo anamvutia Uzi au anamrudisha waongee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mbowe sio form 6? tena form 6 failure? kwa nini hatumuhitaji yeye kama tunahitaji ma'form 6?

Mnyika ni University dropout, na ninauhakika kwa kipindi chote hiki alishajiendeleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna Katiba inayompa Rais mamlaka ya kuteua zaidi ya 99% ya watumishi.

Hivyo Imejenga Taifa La Watu "WANAFIKI" na wa "KUJIKOMBA KOMBA" kwa mtu mmoja ila wapewe chochote wasikae JOBLESS angalau watupiwe chochote na "MFALME".

Katika mazingira hayo ndio maana hata kabla CCM hawajampitisha Magu kugombea urais, tayari TLP, NLD, UPDP, NCCR Mageuzi washampitisha.

Katiba imejenga mazingira ya kuwa na taifa la WANAFIKI kuanzia WANAHABARI, WANAZUONI, VIONGOZI WA DINI, WASANII, WANASIASA, MEDIA.

Kila ni mtu ni kusikilizia TEUZI huku kila mmoja akipambana KUMWAGA PAMBIO mbele ya MFALME Mithili ya VIGORI wanaokata viuno ngomani kupata nafasi ya kuchaguliwa, kuolewa na MFALME.

Katika mazingira hayo hata Tundu Lissu, Mbowe, Zitto or whatever wanaweza kuhamia tu CCM wala hakuna wa kushangaa.

Suala ni wakihamia CCM wewe kapuku tu wa CCM utapata faida gani au hata UMASIKINI WA TANZANIA wasioweza kumudu hata LOCKDOWN ya siku 2 ndio UTAISHA ?
 
Napenda tu kuwakumbusha wanasiasa na wananchi kwa ujumla kwamba endapo Katibu mkuu wa sasa wa Chadema mh Mnyika atafanikiwa kuhamia CCM basi atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu mfululizo kufanya hivyo.
Lakini pia atakuwa ni Katibu mkuu wa 4 katika orodha ya wanachama wa Chadema waliowahi kushika wadhifa huo kuhamia CCM.

Hadi sasa madaktari watatu waliowahi kuwa makatibu wakuu wa Chadema na kutimkia CCM ni Dr Amani Kabourou, Dr Mashinji na Dr Slaa.

Ikumbukwe kuwa JJ Mnyika hakuridhishwa na utaratibu uliotumika kumsajili mzee Lowassa Chadema kwa gharama ya kumpoteza Dr Slaa na alishafanya maamuzi kuwa akimaliza kipindi hiki cha ubunge anahamia CCM.

Endapo lengo la Mnyika litatimia basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa siasa za Ufipa na viunga vyake.

Mungu iponye Chadema.

Maendeleo hayana vyama!
Makamanda wataanza kutembea na mashine za kupimia Bp maana hali si shwari Kalamu1
 
Quote hapa hayo maamuzi yake na sio kumsemea unachofikiri wewe.
Halafu unadhani kwa nini wakitoka Chadema kuja huko wanapewa nyazifa za kuaminika?
Dr Kabouru aliukwaa uenyekiti Kigoma na ujumbe wa NEC, Slaa akapewa ubalozi wa Sweden na kwa siri ni mshauri wa Jiwe na Mashiji ni suala LA muda tuu.
Jee wakati wanapewa hizo nafasi wafia chama wameenda wapi? Wapo Ila hawana uwezo kabisa.
Hivi jiulize mtu wenu kama Ndugai umuweke Chadema atapata wadhifa gani kwa uwezo duni alio nao? Ndugai hata Katibu wa Chadema Kata hawezi pewa ndio tofauti ya vyama hivi. Hivyo JJ kama anataka kwenda aende tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Ndugai akija atakuwa mgombea urais,kama mapokezi ya Wema yaligharimu mamilioni ya ruzuku sembuse Ndugai?Nakumbuka jinsi Mbowe alivyopoteza fahamu hadi kulazwa Muhimbili kwa kumshangilia Lowasa.Hakuna kiongozi wa Chadema asiye mtiifu kwa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama unafikiri shughuli yaMnyika kuhamia CCM ni ndogo muulizu Lukuvi ndiyo anaijua, pamoja na kuweka kambi nyumbani kwa Mnyika na kutumia kila aina ya ushawishi na ahadi Lukuvi aliangukia pua, na Mnyika atabakia mwana CHADEMA ambaye ma ma-CCM yanamtolea udelele kila kukicha, laiti nchi hii ingekuwa na akina mnyika20, CCM tungekuwa tumeisha izika kifo cha Corona!
 
Tuna Katiba inayompa Rais mamlaka ya kuteua zaidi ya 99% ya watumishi.

Hivyo Imejenga Taifa La Watu "WANAFIKI" na wa "KUJIKOMBA KOMBA" kwa mtu mmoja ila wapewe chochote wasikae JOBLESS angalau watupiwe chochote na "MFALME".

Katika mazingira hayo ndio maana hata kabla CCM hawajampitisha Magu kugombea urais, tayari TLP, NLD, UPDP, NCCR Mageuzi washampitisha.

Katiba imejenga mazingira ya kuwa na taifa la WANAFIKI kuanzia WANAHABARI, WANAZUONI, VIONGOZI WA DINI, WASANII, WANASIASA, MEDIA.

Kila ni mtu ni kusikilizia TEUZI huku kila mmoja akipambana KUMWAGA PAMBIO mbele ya MFALME Mithili ya VIGORI wanaokata viuno ngomani kupata nafasi ya kuchaguliwa, kuolewa na MFALME.

Katika mazingira hayo hata Tundu Lissu, Mbowe, Zitto or whatever wanaweza kuhamia tu CCM wala hakuna wa kushangaa.

Suala ni wakihamia CCM wewe kapuku tu wa CCM utapata faida gani au hata UMASIKINI WA TANZANIA wasioweza kumudu hata LOCKDOWN ya siku 2 ndio UTAISHA ?
Bwashee umekata tamaa kabisa....... Hahahaaaa!
 
kama unafikiri shughuli yaMnyika kuhamia CCM ni ndogo muulizu Lukuvi ndiyo anaijua, pamoja na kuweka kambi nyumbani kwa Mnyika na kutumia kila aina ya ushawishi na ahadi Lukuvi aliangukia pua, na Mnyika atabakia mwana CHADEMA ambaye ma ma-CCM yanamtolea udelele kila kukicha, laiti nchi hii ingekuwa na akina mnyika20, CCM tungekuwa tumeisha izika kifo cha Corona!
Ngoja tuone huko Misungwi atagombea kwa tiketi ya chama gani!
 
Atarejea tuu au labda useme nchi hii ni mali ya mama aako. Huu upuuzi wa kutishana tishana peleka kwa mke wako pimbii wewe unadhani kuna mtu anaogopa huu utawala wa kidhalimu kutekana na kesi zenu za kubambua sijui mhujumu uchumi. Teena wewe matako siku akirudi naomba ukae mbele umzue uone moto ni njugu tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha...message sent and delivered na imegusa kunako, traitor wa Taifa ni muhaini tu hilo halibadiliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda tu kuwakumbusha wanasiasa na wananchi kwa ujumla kwamba endapo Katibu mkuu wa sasa wa Chadema mh Mnyika atafanikiwa kuhamia CCM basi atakuwa ni Katibu mkuu wa tatu mfululizo kufanya hivyo.
Lakini pia atakuwa ni Katibu mkuu wa 4 katika orodha ya wanachama wa Chadema waliowahi kushika wadhifa huo kuhamia CCM.

Hadi sasa madaktari watatu waliowahi kuwa makatibu wakuu wa Chadema na kutimkia CCM ni Dr Amani Kabourou, Dr Mashinji na Dr Slaa.

Ikumbukwe kuwa JJ Mnyika hakuridhishwa na utaratibu uliotumika kumsajili mzee Lowassa Chadema kwa gharama ya kumpoteza Dr Slaa na alishafanya maamuzi kuwa akimaliza kipindi hiki cha ubunge anahamia CCM.

Endapo lengo la Mnyika litatimia basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa siasa za Ufipa na viunga vyake.

Mungu iponye Chadema.

Maendeleo hayana vyama!
Asisahau yule Dr wa kigoma aliitwa Kabotou naye alihamia ccm lakini cdm bado IPO

Wapo wengi walikuwa cdm wakaondoka , zito, arfi, kitila mwigamba, lakini cdm bado ipo
 
Hivi nyie mlioko Ccm ni vilazer kiasi gani? Mana kila aliyeko Chadema akija huko ni hadhina! Siku Lissu akihamia Ccm anapewa Uraisi kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Itafikia wakati wale viongozi wa juu mawaziri, Hadi rais atakuwa alikuwa chadema.. CCM itakuwa chadema B

Yaan ukionekana uko vizuri kichwani unapata usajiri kule CCM..
 
Vijana wa lumumba kama vichaa tu wakiamuka asubuhi nikuwaza CHADEMA

Hii ndio kazi yao ya kijinga kuandiaka propaganda na kupambana na CDM
Watakonda sana sana aseh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn pamoja na hayo yote kwa nn ccm na serikali yake wanaigopa sn chadema?

JIBU RAHISI, CHADEMA WAMEWEKEZA KWA WATU/WATZ SIO KWA VIONGOZI ndio maana pamoja na manunuzi yote lkn watz bado wanajua chama cha kuivusha nchi ni chadema SIO HUU UKOO WA PANYA ccm
 
Back
Top Bottom