Endapo kipyenga cha mwisho kitapulizwa, taifa halina cha kupoteza

Endapo kipyenga cha mwisho kitapulizwa, taifa halina cha kupoteza

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Kwema hukoo mlipo
Kusema kweli USA watu wamekula bata sana hata Sir God akipuliza kipenga wengi wao hawana cha kujutia. Embu tizama mastar wa Marekani walivyo wengi ukilinganisha na nchi nyingine, tazama maisha wanayo ishi yalivyojaa anasa. Ama kweli hakuna usawa kabisaa sijui sisi watu wa mataifa mengine tunatafuta nini hapo duniani? Wa amerika wametabainisha vyema kabisa katika katiba yao " in pursuit of happyness"

Kabda sijasema sana natumai wote twafahamu hakuna dhambi ndogo, hili limeainishwa kwenye mapokeo. Kwa kusema hayo tafakuri yaonyesha mlinganyo wa hukumu haupo sawa ukilinganisha mataifa maskini na mataifa matajiri.

Kwa namna nyingine twaweza sema mataifa yenye standard za juu za maisha ukilinganisha na mataifa yenye standard za chini.

Embu tizama mfano huu mtu Kwenye taifa masikini anapambana na maradhi maisha magumu, kutenda kwake dhambi tu Nako ni kwa ugumu (uzinzi) halafu na mtu aliye amerika ambaye kama anachagua moto ni moto kweli.

Kama wengine walivyotilia mashaka mafunzo kwamba kuna peponi na motoni, hata mimi natilia mashaka huenda hapa duniani ndio kuzimu kwenyewe. Maana hata hao wala bata wa marekani hawapo satisfied.

RIP whitness Houston.
 
Pursuit of happiness umenikumbusha wil smith na mwanaye
 
Back
Top Bottom