Endapo kuta zingeweza kuongea maneno zingesema nini?

Endapo kuta zingeweza kuongea maneno zingesema nini?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Ndio, ni kuta. Hizi hizi zilizozuia wapita njia wasikuone ukiwa ndani kwako.

Zingesema zimeona nini uko kwenu?
 
Ndio, ni kuta. Hizi hizi zilizozuia wapita njia wasikuone ukiwa ndani kwako.

Zingesema zimeona nini uko kwenu?
Zingesema tu maana Dunia hasira
FB_IMG_1719963417249.jpg
 
Kuna mmoja leo ameniambia Kwa nini nikubembeleze?Aisee nimeumiaaaa mhhh
 
Zingesema mengi kuhusu wachawi wanavyozipasua usiku na kuzirudisha kama zilivyo.
 
Nimekumbuka siku ya Kwanza..... Miezi mitatu iliyopita! Dah🤦 acha tu 🥲...
 
Back
Top Bottom