NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Katika kitu kikubwa na cha aibu ambacho Mwenyekiti wa Simba SC aliwakisea Wanasimba ni suala la Ceser Manzoki.
Kupitia uchaguzi, Manzoki alipewa na maiki na kusema kuwa hatakuja Simba SC kwa maana anaipenda sana lakini dirisha limefunguliwa. Mpaka sasa hakuna hata tetesi za Manzoki kuzungumzwa kuja Simba SC kama alivyoahidi mbele ya wanachama na mashabiki kindaki ndaki wa Simba SC.
Kwa tafsiri hiyo, ni uongo mkubwa na ulaghai uliotumika ili Mwenyekiti atetee ugali wake maisha yendelee.
Sasa limeibuka suala la Luis Miquissone kuja Simba SC japokuwa halina uhakika lakini pia nalo linaweza kutumika kisiasa ili kuwaridhisha Wanasimba (mashabiki) wasihoji kwanini mpaka sasa John Bocco bado yupo Simba SC.
Endapo Luis Miquissone asipotua Simba SC Murtaza Mangungu anapaswa kujiuzulu, kwani atakuwa amewadanganya sana mashabiki wa Simba SC kuanzia kwa Manzoki mpaka kwa Luis Miquissone.