Endapo Mashtaka ya Erick Kabendera ni ya Kutengeneza basi gharika inakuja

Kama Ni kweli uliyoyaandika,kwa nini Kila kukicha upelelezi haujakamilika?..
Kwani walivo mkamata si walikua wanajua kosa?.
Kwa Nini Leo iwe upelelezi haujakamilika?.
 
Je mashitaka yake ni kwa hajili ya kushirikiana na mabeberu au? kijana huyo anaweza kuomba msamaha wamuhurumie amusaidie mama yake ambaye ni mgonjwa
 

Si nasikia amekiri na kuomba msamaha
 
Analipa juu ya kile alichokuwa anafanya kwa Taifa hili, huyu ndie alikua mpokea pesa na kuwalipa wenzie hapa waliokuwa wakipambana Taifa liingie taabuni, acha aipatepate, acha dawa imuingie maana ndio fungu limfaalo msaliti
 
Vinginevyo anajua nini kilimpata wiki mbili zilizopita.
Wazee wa kijiji cha wachawi kule Shinyanga kiitwacho Gamboshi wamerekebisha mitambo na mkulu sasa yuko sawa.
Namauonya kuwa mwaka huu hautapita kabla Mungu hajafanya uamuzi wake wa moja kwa moja
Mungu ni mwingi wa rehema, huwabariki hata makahaba, wenye roho mbaya na majambazi. Lkn pia huwa na nija zake za kushughulika na waovu.

Mleta mada hii kumuachia Mungu ashughulike na mtu tafsiri yake ni kwamba umeishiwa mbinu za kupambana na mtu husika. Umeanza kutoa dua la kuku dhidi ya mwewe, lkn miaka inaenda mwewe mpk leo wapo
 
Amina tupo pamoja ktk maombi mungu tunakuomba utuongoze
 
Nimesoma komenti zote.
Nimeshashusha End-break, sasa nipo neutral. Endeleeni nizisome
 
Kama ni swala la kusema tu, mbona wanaosemekana sio raia wa nchi hii ni wengi?
 
Huyo alitumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi

Sasa wanasiasa wameacha anateseka peke yake
Hapa tuna la kujifunza sisi Wananchi
kule kwa mabeberu tunakonunua ndege na kuwa kama wao au?
 
Huyo alitumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi

Sasa wanasiasa wameacha anateseka peke yake
Hapa tuna la kujifunza sisi Wananchi
We jamaa unamarinda kweli ww! Au demu wewe?
 
Hili zee likifa likiwa madarakani itakuwa sherehe kama kumshinda idd amin

Afe utamuua wewe?
Na Kwa taarifa yenu, yale madili yenu ya madawa ya kulevya ndo basi tena.
 
Wee swala ni mnyama.
Muache apate ujira wake. Kila kitu mtu apandacho ndicho avunacho.
Hii nchi Ina mambo ya ajabu kwelikweli,u ememkamata flani ana mnofu mdomoni,ukimpeleka mahakamani utasikia upelelezi bado,kwa Nini umkamate Kama huna uthibitisho kuwa huyu mtu alihusika?.
Kama kwwli ana makosa kwa Nini asihukumiwe?.
Au Ni aina ya mateso kuwakomoa baadhi ya watu?.

Nchi yangu,nchi yangu ,nchi yangu,nchi yanguuuuuuuuuuuuuu!!
Mungu Ni wa watu wote.
 
"Anajuwa kuwa zaidi ya masaa 6 hakuwa na fahamu?"
Kumbe hali ilikuwa hivyo na ndio ule uvumi ukaenea?
SAA 6 unaweza kukuta maana sio wako! Ajifunze siku nyingine sio 6 ila 60.
 
Huyo alitumika na Mabeberu kuharibu Amani ya Nchi

Sasa wanasiasa wameacha anateseka peke yake
Hapa tuna la kujifunza sisi Wananchi

Mabeberu ni akina nani?

Na kila siku ikulu bwana wako anawapokea na kupiga nao picha!

Sasa wewe dick sucker upo humu unatanua tako!

Utapigwa tako kama mzinga wa konyagi!
 
Si muombei mtu afe bali namuombea Mungu ampe ufahamu na thamani aliyonayo mja wa mwenyezi Mungu mioyo imeinama
 
Pamoja na mapungufu yke Mh Rais ila kwa ili hapana yupo sahihi. kosa kubwa la ndugu Erick ni kkubari kutumika na wanasiasa January Makamba Zitto Kabwe alifanya makosa makubwa sna kuamini hawa watu na yule wa Mtama... wenzie wameomba Radhi yy Mama yke na Familia yake inapata tabu yote ya yote sote ni ndugu Mamlaka naomba ikubari kuomba kwake Radhi hakika anajutia makosa yke...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…