nakushukuru sana kwa kukosa utayari kwa maana sampuli yako hubishana for the sake of kubishana. mpo akina tutabishana hadi asubuhi. unaambiwa 2×2=4 unakataa na kusema ni 5. unasema umeishasema! usemacho wewe tu ndicho sahihi. mnafikia kutamka: niseme na wewe useme.Mungu anatualika kuhojiana naye. mnajifanya hata zaidi. hamtaki mjadala.Siko katika mabishano na mtu awaye yote. Kwa ufupi kila mtu anavuna anachopanda. Hata tukeshe tunabishana, ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba the guy is behind the bars.
Bro naomba ucheki pm plzSi nasikia amekiri na kuomba msamaha
Nenda the economist na lile la yule mzee bilionea anayetaka kugombea urais kupingana na Trump kupitia democrats ....bloomberg!Tunaomba japo maandishi ambayo aliandika na yalihatarisha amani..
Yani unachosema kinatoa picha kamiri. Jiulize kwanini Libya mpaka leo hiyo demokrasia waliotaka kama wameishaipata? Ni shida tu mpaka wanajuta mze Ghadaffi bora angekuwepo. But they Regret already too late.Nenda the economist na lile la yule mzee bilionea anayetaka kugombea urais kupingana na Trump kupitia democrats ....bloomberg!
Tunawaona na tunawajua,lolote la kifedhuli likitokea tunajua pa kuwashika......the gang of nonsense!
Shame on you!
Hivi mnafikiri wale wa West africa wanaofanya desperate journeys, si ndio waliingia mitaani kufurahia kifo cha ghadaffi!
Je nini kinawapata leo hii?