Endapo Mbowe atagombea uenyekiti , naachana na kufatilia siasa za Tanzania.

Apollo tyres

Senior Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
109
Reaction score
286
Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu.

Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm

Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
 
Hata mimi hii ndio ahadi yangu. Aliyebakiza Imani yangu kwa Siasa ni Mstakabali wa Lissu na Mbowe.
 
Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu.

Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm

Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
Kupigia CCM kura ni kupoteza mda ukubari usikubari wanashinda tu, kama walifikia hatua kugawana majimbo ya ubunge na mbowe hata kabla ya uchaguza hapo unajifunza nini mkuu?
 
Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu.

Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm

Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
Kwani wewe ukifuatilia au usipofuatilia siasa Mbowe yeye atapata hasara gani mkuu?

Angalau ungekuwa mfadhili wa Chama maybe ungeeleweka.
 
Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu.

Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm

Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
Mbowe yuko tayari chama kimfie lakini sio kumuachia Lisu wote matapeli lakini bora tapeli lisu hanunuliliki kwa bei chee kama mbowe
 
Basi wewe ni dhaifu sana kifikra na kimaamuzi!.. kwanza demokrasia nini..?
kwani katiba ya chadema haimruhusu yeye kugombea kwani..?
punguza mihemko!
 
Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu.

Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm

Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
hata ukiamua kujiua sawa
 
Back
Top Bottom