Apollo tyres
Senior Member
- Nov 16, 2024
- 109
- 286
Hata mimi hii ndio ahadi yangu. Aliyebakiza Imani yangu kwa Siasa ni Mstakabali wa Lissu na Mbowe.Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu.
Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm
Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
Kupigia CCM kura ni kupoteza mda ukubari usikubari wanashinda tu, kama walifikia hatua kugawana majimbo ya ubunge na mbowe hata kabla ya uchaguza hapo unajifunza nini mkuu?Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu.
Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm
Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
Kwani wewe ukifuatilia au usipofuatilia siasa Mbowe yeye atapata hasara gani mkuu?Huu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu.
Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm
Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
Mbowe yuko tayari chama kimfie lakini sio kumuachia Lisu wote matapeli lakini bora tapeli lisu hanunuliliki kwa bei chee kama mboweHuu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu.
Endapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti hapo Chadema naachana na kufatilia siasa na 2025 nitawapigia kura Ccm
Tumechoka upinzani fake tunamtaka mzee wa nyeusi ni nyeusi
HahaMbowe yuko tayari chama kimfie lakini sio kumuachia Lisu wote matapeli lakini bora tapeli lisu hanunuliliki kwa bei chee kama mbowe
hata ukiamua kujiua sawaHuu ndo uamuzi nilioufikia Mimi na familia yangu.