Endapo Mwijage angekuwa Rais, Bajeti ya nchi ingepanda kwa Tsh. trilion 33

Endapo Mwijage angekuwa Rais, Bajeti ya nchi ingepanda kwa Tsh. trilion 33

Gharama ya hotuba ya Mwijage bungeni yafika Trilion 33

- Mradi wa kutoa leseni ya kufuga samaki na kutafita wawekezaji ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa trilion 20

- Mradi wa kujenga soko la samaki au kiwanda cha kusindika Samaki kwenye maziwa hayo Trilion 12

- Mradi wa Kusimamia masoko na utafutaji masoko ya uhakika na ununuzi wa ndege Trilion 1

View: https://youtu.be/Zh2C-kImfPE?si=fsiukADzWkLwinpW

Mbunge wa Jimbo la Muleba, Charles Mwijage, amedai kuwa serikali haijachukua hatua za kutosha kuweka mazingira yanayotosheleza kuendeleza soko la samaki nchini Tanzania. Akielezea masikitiko yake, Mwijage amesema sekta hiyo imekuwa chanzo cha aibu kwa taifa, kwani Tanzania haijaingia katika orodha ya nchi zinazofanya ufugaji wa samaki barani Afrika, licha ya rasilimali ya maji mengi inayopatikana nchini.

Mwijage ametoa kauli hiyo tarehe 4 Novemba 2024 bungeni jijini Dodoma, wakati akichangia mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/2026.

“Hatujafanya lolote, hatujatumia maji yetu, hakuna chochote kimefanyika, tunachezea maji,” amesisitiza Mwijage.

Ameeleza kuwa wakati nchi nyingine za Afrika kama Morocco na Misri zinafaidika na sekta hiyo kwa mapato makubwa, Tanzania bado ipo nyuma. “Morocco wanapata Dola Bilioni Moja kutokana na samaki. Misri anatuongoza,” ameongeza kwa kuonesha wasiwasi wake.

Ninavyopendaga vya bure hapo kwenye MISRI pamenona tuendelee alisikika akisema

Alivokua waziri wa viwanda enzi za magu alikua anafurahisha sana.
 
Wakati tunawaza na kusubiria Miradi ya Samaki!? Labda tutaenda kusoma Hadi Uprofesa..
RankCountryGold Reserves (Tonnes)Gold Reserves (Millions)Holdings (%)
1United States of America8,133.46609,527.8572.41
2Germany3,351.53251,166.1371.46
3Italy2,451.84183,742.5268.33
4France2,436.97182,628.3569.99
5Russian Federation2,335.85175,050.5929.47
6China2,264.32169,689.524.91
7Japan845.9763,397.875.15
8India840.7663,007.209.57
9Netherlands612.4545,897.7561.61
10Turkey584.9343,834.930.00
11Portugal382.6628,677.0674.08
12Poland377.3728,280.5213.49
13Uzbekistan365.1527,364.7775.20
14United Kingdom310.2923,253.1513.44
15Kazakhstan298.8022,391.9556.04
16Spain281.5821,101.6420.16
17Austria279.9920,982.7663.21
18Thailand234.5217,574.997.83
19Singapore228.8617,150.614.49
20Belgium227.4017,041.2139.90
 
Wakati tunawaza na kusubiria Miradi ya Samaki!? Labda tutaenda kusoma Hadi Uprofesa wa GoLD..
RankCountryGold Reserves (Tonnes)Gold Reserves (Millions)Holdings (%)
1United States of America8,133.46609,527.8572.41
2Germany3,351.53251,166.1371.46
3Italy2,451.84183,742.5268.33
4France2,436.97182,628.3569.99
5Russian Federation2,335.85175,050.5929.47
6China2,264.32169,689.524.91
7Japan845.9763,397.875.15
8India840.7663,007.209.57
9Netherlands612.4545,897.7561.61
10Turkey584.9343,834.930.00
11Portugal382.6628,677.0674.08
12Poland377.3728,280.5213.49
13Uzbekistan365.1527,364.7775.20
14United Kingdom310.2923,253.1513.44
15Kazakhstan298.8022,391.9556.04
16Spain281.5821,101.6420.16
17Austria279.9920,982.7663.21
18Thailand234.5217,574.997.83
19Singapore228.8617,150.614.49
20Belgium227.4017,041.2139.90
 
Wakati tunawaza na kusubiria Miradi ya Samaki!? Labda tutaenda kusoma Hadi Uprofesa..​

10 Largest Rice-Producing Countries in the World (2024)​

Market% of Global ProductionTotal Production (2023/2024, Metric Tons)
China28%144.62 Million
India26%137.83 Million
Bangladesh7%37 Million
Indonesia6%33.02 Million
Vietnam5%26.63 Million
Thailand4%20 Million
Philippines2%12.33 Million
Burma2%11.9 Million
Pakistan2%9.87 Million
Japan1%7.3 Million
 
Wakati tunawaza na kusubiria Miradi ya Samaki!? Labda tutaenda kusoma Hadi Uprofesa..​

Below are the 10 African countries with the highest number of internet users in 2024:​

RankCountryNumber of internet users
1Nigeria103 million
2Egypt82 million
3South Africa45 million
4Morocco34 million
5Algeria33 million
6Ghana24 million
7Congo, Dem. Rep.28 million
8Ethiopia24 million
9Kenya22 million
10Tanzania21 million
 
Wakati tunawaza na kusubiria Miradi ya Samaki!? Labda tutaenda kusoma Hadi Uprofesa..​

Life expectancy at birth in Africa as of 2023, by country(in years)​

CharacteristicLife expectancy in years
Algeria77.3
Cabo Verde76.9
Tunisia76.9
Mauritius75.7
Morocco75.2
Seychelles75
Libya73.3
Western Sahara71.2
Egypt70.8
Senegal69.3
Sao Tome and Principe68.9
United Republic of Tanzania67.6
Rwanda67.4
Eritrea67.3
Ethiopia66.6
Madagascar66.4
Gabon66.2
Botswana66.1
 
Wakati tunawaza na kusubiria Miradi ya Samaki!? Labda tutaenda kusoma Hadi Uprofesa..​

Average life expectancy at birth in 2023, by continent and gender(in years)​

CharacteristicMalesFemales
Oceania7681
Europe7581
Northern America7480
Asia7276
Worldwide7075
Latin America and the Caribbean7177
Africa6165
 
kuelekeya wapi?
Hivi kusaini Kuboresha maisha ya watu huws wanatumia Saini Gani!? Maana wanasema anaboresha maisha ya watu wakati sisi sio watu - Wanasaini kwa muda Gani

download.png
 
Hivi kusaini Kuboresha maisha ya watu huws wanatumia Saini Gani!? Maana wanasema anaboresha maisha ya watu wakati sisi sio watu - Wanasaini kwa muda Gani
images.png
 
Hivi kusaini Kuboresha maisha ya watu huws wanatumia Saini Gani!? Maana wanasema anaboresha maisha ya watu wakati sisi sio watu - Wanasaini kwa muda Gani

images.jpeg
 
Hivi kusaini Kuboresha maisha ya watu huws wanatumia Saini Gani!? Maana wanasema anaboresha maisha ya watu wakati sisi sio watu - Wanasaini kwa muda Gani
Vladimir_Putin_signature.svg.png
 
Back
Top Bottom