Endapo Nchi yetu itashindwa kusonga mbele kwa miaka 5 ijayo,nyinyi mnaosombwa kwenye Malori tutawauliza

Endapo Nchi yetu itashindwa kusonga mbele kwa miaka 5 ijayo,nyinyi mnaosombwa kwenye Malori tutawauliza

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,990
Reaction score
3,824
Inakuwaje mnaosombwa kama mizoga? Mnataka ishara Gani zaidi kuamini kwamba huyu mgombea wa CCM uwezo wake ni mdogo.?

Kila ishara mmepewa lakini mnaosombwa kwenye Malori na mmeridhika kabisa. Jana kaongea haongozi wanyonge Leo kasema yeye ni mnyonge. Sasa wewe unaelewa Nini hapa.?

Je,sheria za usafirishaji wa abiria zinasemaje? Polisi mpo na mnaona lakini mpo kimya tu. Wengine mpaka wanapata ajali wanavunjika na kufa.
'
Nyie mnaosombwa kwenye Malori tutawauliza. Mnaosombwa Leo ,kesho Kuna maumivu. Tutawauliza.
 
Leo nime shuhudia afisa wa cmm akija kuwaomba wamama waende kujitokeza kwenye kampenzi za mgombea ubunge halafu jioni watapewa 5000, nime shangaa sana
 
HAKUNA CHA KUWAULIZA,BADALA YAKE TUTAWAUZA KAMA BIDHAA KUFIDIA HASARA AMBAYO TAIFA LIMEIPATA
 
Back
Top Bottom