Endapo nikaziona Video za Diamond akijiunga freemason, sitashabikia mziki wake tena

Na leo watu walifurika kusikia akimchambua Diamond.....Duh Watanzania sijui uwezo wetu wa kufikiri unaishia wapi.
Watu wa matukio...hadi kwenye nyumba za ibada......siwez sali mm kanisa kama hilo......roho mtakatifu atakwazwa kabisa......Askofu mwanasiasa na matukio.....siwez hata siku moja......watu bado kabisa....wamefungwa sijui spiritually......Mungu tuepushe.
 
Huyo anapenda kiki sana, hana lolote la kusema.

Natumaini mmetoa sadaka hata kwa kumrushia.

Dunia hii na watu mnachukua aliyosema ha ha ha haaaa, kanisa ni biashara kwa wengine.
Ugumu wa maisha naona unavyodumaza uwezo wa kufikir kwa Watanzania....wanaambiwa sema Amen...nao wanasema amen......ibada unahubiri kumuongelea mtu na maneno ya kwenye khanga...na waumin wanaongeza sadaka...kama sio kulogwa ni nn hyo.....mwenye akili timamu hawez ingia kanisa lile hata....
 
Mpaka uone video kwanini huamini katika Simbols anazotumia badala yakuamini Video
 
Akili ndogo ni mtaji wa matapeli! Jamaa anajua kucheza na akili za wabongo kwani anajua zinapoanzia na zinapokomea!
Mkuu watake radhi watanzania walio wengi kwa kuwachanganya na bavicha! Gwajima anazijua akili za bavicha.
 

kwani freemason ni nini unajua unaweza kuwa mjinga bure
 

halafu utamuathiri nini?

tabia za kike hizi, no wonder our society imejaa mashoga
 
Cha kujiuliiza gwajima alizipataje hizo video? Au na yeye ni mmoja wao
 
Muislamu gani we unapenda mambo ya dunia kajambe huko na ukome kutukana din za watu
 
Bashite ndiye anawajengea jengo gani vile ?
 
Gwajima kajuaje ? May be naye yumo
Kujua kwamba jay z ni illuminat hauhitaji kuwa illuminat ukiona symbols wanazopotray kwenye video zao unajua....same to bwana nasibu..anavyoonesha vidole vitatu ile sio swaga ni order inabidi afanye vile ndo ..alama ya vidole vitatu ndo inatumika sana sasa hivi..angalia pia video ya drunk in love ya beyonce na jay z utaona...
 
Wewe akili zako zimefungiwa na baba Paroko huwezi kujitambuwa.

Muulize pengo siku hizi ule waraka wa Baraza la maaskofu mbona hautolewi au kisa JK alikuwa wa dini ile na huyu wa sasa ni mwanaparokia mwenzetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…