Counsellor Sima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 539
- 575
Watu wa matukio...hadi kwenye nyumba za ibada......siwez sali mm kanisa kama hilo......roho mtakatifu atakwazwa kabisa......Askofu mwanasiasa na matukio.....siwez hata siku moja......watu bado kabisa....wamefungwa sijui spiritually......Mungu tuepushe.Na leo watu walifurika kusikia akimchambua Diamond.....Duh Watanzania sijui uwezo wetu wa kufikiri unaishia wapi.