Endapo nikaziona Video za Diamond akijiunga freemason, sitashabikia mziki wake tena

umeshindwa kuacha kusikiliza nyimbo za kina jay z,beyonce,lil wayne,sijui nicki minaj n.k ambao ni freemason waliokubuhu eti leo unataka uache kusikiliza nyimbo za diamond kisa mtu fulani kasema...akili za kuambiwa..........
 
Imeandikwa ..ya giza ipo siku yatafunuliwa ili ukuu wa Mungu ujidhihirishe wazi, walifanya na wakaua sasa mda wetu kujua kila kitu u karibu mno.
 
Gwajima buruza hao vilaz*******!! Waburuz hao waumini waovu kamaaa wew shetuan buruza mashetuani wenzio waburuz banaaa mimi nipo upande wa God hautaniweza wew nabi wa shetani .
 
Mpaka uone video kwanini huamini katika Simbols anazotumia badala yakuamini Video
Hawa ndio watataka hadi video siku ambayo shetani alimuasi Mungu akafukuzwa Mbinguni. Hawa jamaa wana sign zao na.kuabudu mifuvu kama diamond aliyoweka kwake. Symboz za mapembe kumuwakilisha the devil but mnahitaji video.
 
umeshindwa kuacha kusikiliza nyimbo za kina jay z,beyonce,lil wayne,sijui nicki minaj n.k ambao ni freemason waliokubuhu eti leo unataka uache kusikiliza nyimbo za diamond kisa mtu fulani kasema...akili za kuambiwa..........
Hao wamekubuhu na huyu pia ana level yake ya kukubuhu
 
99% Ngono na Pombe Ndio Muziki wake na bongo fleva wengu wa Sasa!
Mbona umechelewa sana-Ujinga-Ujinga wanaimba.
 
Akili ndogo ni mtaji wa matapeli! Jamaa anajua kucheza na akili za wabongo kwani anajua zinapoanzia na zinapokomea!

Kama kamtuhumu kijana wa watu pasipo kweli, huyo kijan aliychafuliwa ama ni kwa jinsi isivyo kweli, aende mahakamani akadai fidia kwa defamation.
 
Gwajima Kiukweli Kawashika akili wajinga du!!
Hivi utamjuaje Frmsn wewe ukiwa si frmsn!!

Huu uhuni Ni wapuuzi utawaingia akilini
"Rais wa free mason Afrika mashariki sir Andy Chande afariki dunia!"Huu ni uongo mkubwa!Utamjuaje free mason...just thinking aloud!
 
Kuna watu humu ndani wanatetea ufreemason.kwani ni kosa mtu kuwa Freemason?
 
Ile triangle ya Diamond, ni alama ya Freemasons, Kujiita simba, kwenyewe ni alama tosha ya Freemasons. Ile mifuvu iliyopo kwenye ofisi yake ni alama ya Freemasons.
Kwahiyo na team ya mpira inayojiita simba ni freemason pia.
Ebu lete somo kuhusu freemason kwanza
 
Hihihiiiiiiiiiii wabongo akili hatuna, sasa mtu kuwa freemanson wewe unakuuma nini ila tatoo zake wazipenda, hereni zake wazipenda,nyimbo zake wazipenda.........hayo yote husimamiwa na freemanson,,,,,,,unapenda tatoo ila hujuwi kuwa ni mambo ya freemanson hihihiiiiiiii
 
Na leo watu walifurika kusikia akimchambua Diamond.....Duh Watanzania sijui uwezo wetu wa kufikiri unaishia wapi.
Kwani uwezo wako wewe uko vipi mdau mwaka wa ngapi unaahidiwa vitu mpaka leo hola mimacho kodo leo kesho leo kesho embu kuwa mkweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…