data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Andazzi kweli wewe.. Mmepata pa kujambia..Tulishasema siku nyingi tukaitwa haters.
Huyu jamaa anachoimba na mafanikio yake ni kifo na Usingizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andazzi kweli wewe.. Mmepata pa kujambia..Tulishasema siku nyingi tukaitwa haters.
Huyu jamaa anachoimba na mafanikio yake ni kifo na Usingizi.
Hahahahaa ingekuwa imefubaa usingekuwa apa.....team bichwa kwa kujichetua vipi tour yenu ya vibanda umizaUliza maswali ya maana.
Hawa ndio watataka hadi video siku ambayo shetani alimuasi Mungu akafukuzwa Mbinguni. Hawa jamaa wana sign zao na.kuabudu mifuvu kama diamond aliyoweka kwake. Symboz za mapembe kumuwakilisha the devil but mnahitaji video.Mpaka uone video kwanini huamini katika Simbols anazotumia badala yakuamini Video
Nembo ya pyramid hiyo. Ni kama nembo kuu kwao ipo hata kwa dola ya USAView attachment 493258[emoji40]
Hao wamekubuhu na huyu pia ana level yake ya kukubuhuumeshindwa kuacha kusikiliza nyimbo za kina jay z,beyonce,lil wayne,sijui nicki minaj n.k ambao ni freemason waliokubuhu eti leo unataka uache kusikiliza nyimbo za diamond kisa mtu fulani kasema...akili za kuambiwa..........
99% Ngono na Pombe Ndio Muziki wake na bongo fleva wengu wa Sasa!Leo akizungumza Kanisani, mchungaji Gwajima amesema amemsamehe Msanii Wa mziki nchini Diamond na kuongeza kuwa kama so kuomba msamaha alipanga kumuumbua juu ya namna alivyojiunga, wapi na tarehe aliyojiunga chama cha Freemason. pia ameeleza atatoa video zinazomuonesha pindi akijiunga na harakati zingine.
ikitokea hivi basi diamond nitakukimbia na sitakuwa mshabiki Wa mziki wako tena
Akili ndogo ni mtaji wa matapeli! Jamaa anajua kucheza na akili za wabongo kwani anajua zinapoanzia na zinapokomea!
hihihihihihhi ko vyet tu ndo vimefanya uamin ni fremasonHuyu ni freemasaon kbsa haijifichi..Huyu dogo ni mpumbavu sana kanikera sana kua upande vyeti feki
"Rais wa free mason Afrika mashariki sir Andy Chande afariki dunia!"Huu ni uongo mkubwa!Utamjuaje free mason...just thinking aloud!Gwajima Kiukweli Kawashika akili wajinga du!!
Hivi utamjuaje Frmsn wewe ukiwa si frmsn!!
Huu uhuni Ni wapuuzi utawaingia akilini
kaomba msamah ndio mana gwajiboy katoa kionjo tu xax akitak gwaji atoe dude basi amchokoze tenaNdiyo maana aliwahi kuomba msamaha mapema, ila sasa nyota imefubaa sijui maana hali yake mbaya...
Kwahiyo na team ya mpira inayojiita simba ni freemason pia.Ile triangle ya Diamond, ni alama ya Freemasons, Kujiita simba, kwenyewe ni alama tosha ya Freemasons. Ile mifuvu iliyopo kwenye ofisi yake ni alama ya Freemasons.
Unajiumiza nafsi kwa mambo yasiyo kuhusu.....chuki gani hizo za kichawi.Huyu ni freemasaon kbsa haijifichi..Huyu dogo ni mpumbavu sana kanikera sana kua upande vyeti feki
Nikutokana na Mtazamo wa Jamii na Maneno yanazongumuziwa Juu ya "Freemasons"Kuna watu humu ndani wanatetea ufreemason.kwani ni kosa mtu kuwa Freemason?
Kwani uwezo wako wewe uko vipi mdau mwaka wa ngapi unaahidiwa vitu mpaka leo hola mimacho kodo leo kesho leo kesho embu kuwa mkweliNa leo watu walifurika kusikia akimchambua Diamond.....Duh Watanzania sijui uwezo wetu wa kufikiri unaishia wapi.