muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,539
- 3,551
Hapo inavyoonekana gwajima anaona kuwa free mason ni kosa.ndo maana anataka kutumia kama fimbo ya kumuadhibu diamond si ndio?Nikutokana na Mtazamo wa Jamii na Maneno yanazongumuziwa Juu ya "Freemasons"
Utajuaje mtu ni mhuni km we si mhuni??Gwajima Kiukweli Kawashika akili wajinga du!!
Hivi utamjuaje Frmsn wewe ukiwa si frmsn!!
Huu uhuni Ni wapuuzi utawaingia akilini
Watu wa dini na watu walio wengi wanaitazama"Freemasons" kama watu wabaya mno watu wasio faa katika Jamii.Hapo inavyoonekana gwajima anaona kuwa free mason ni kosa.ndo maana anataka kutumia kama fimbo ya kumuadhibu diamond si ndio?
50/50.maana nasikia hadithi tofauti tofauti.hapa gwajima anataka kutuonyesha kuwa Freemasonry ni kosa.au sio?Watu wa dini na watu walio wengi wanaitazama"Freemasons" kama watu wabaya mno watu wasio faa katika Jamii.
Kwani wewe unawachukuliaje hao "freemasons"...?
Kwa sababu ni Mtumishi wa Mungu kama avyotambulika na wengi,50/50.maana nasikia hadithi tofauti tofauti.hapa gwajima anataka kutuonyesha kuwa Freemasonry ni kosa.au sio?
Lingekuwa la wachochezi lazima wewe ungekuwa mwanachama.Hilo sio kanisa la kumuabudu Mola, bali ni la uchochezi.
Hivi mafuvu kumbe ni mapambo ya ofisi.????Watu na mafuvu yao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mondi kanya pembeni ya choo.. ajibebe sasa.
Mkulima lazima amjue mkulima mwenzie ,,, namshukuru mungu kwa kunipa utashiUkikuta mtu ana historia yako lazima ni mshirika wako wa karibu tuwe makini wanajuana hawa
Siyo makanisa yote ni kama huko kwako wenzio wanavyochinja watu[emoji23][emoji23][emoji23]!!!Yaani najivunia kuwa muislamu
Makanisa yamejaa uchafu na ujinga mwingi sana!!
Yaani mi nilijua jamaa anakuja kusema scandal ambayo hatujawahi kuisikia!kumbe yaleyale ya miaka yote?!
Halafu kumbe Gwajima mwoga sana[emoji23][emoji23],watu tulikuwa tumekaa tunasubiri atoe ushahidi tu tumburuze mahakamani,angetoa hiyo CD kudadadeki WASAFI tungekuwa matajiri sasa hivi...Yaani tungeku SUE mpaka ungeshangaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ndo ilivyoMkulima lazima amjue mkulima mwenzie ,,, namshukuru mungu kwa kunipa utashi
Ukikuta mtu ana historia yako lazima ni mshirika wako wa karibu tuwe makini wanajuana hawa
Pamoja mkuuKabisa mkuu
Na kusalimiaNdiyo maana aliwahi kuomba msamaha mapema, ila sasa nyota imefubaa sijui maana hali yake mbaya...