muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,539
- 3,551
Watanzania tulio wengi akili zetu kama zimejaaa matope! People are working hard to make money huku tunawaona kabisa lakini hatuamini kama ni bidii zao. Sisi Kazi kushupalia mambo yasiyo ya msingi kwenye mitandao tu! Haya tuendeleeeni kuita wajenzi huru huku jamaa wanazidi kutafuta pesa sisi mambo yasiyo ya msingi ndo yanatupotezea muda wetu!