Mkuu je lile fuvu la chifu mkwama?Ile triangle ya Diamond, ni alama ya Freemasons, Kujiita simba, kwenyewe ni alama tosha ya Freemasons. Ile mifuvu iliyopo kwenye ofisi yake ni alama ya Freemasons.
Mkuu je lile fuvu la chifu mkwawa?Ile triangle ya Diamond, ni alama ya Freemasons, Kujiita simba, kwenyewe ni alama tosha ya Freemasons. Ile mifuvu iliyopo kwenye ofisi yake ni alama ya Freemasons.
Kwanini hawezi kudanganya ni malaika?gwajima hadanganyi hii ni kweli
Alivyomuimba Askofu?double standardKama kamtuhumu kijana wa watu pasipo kweli, huyo kijan aliychafuliwa ama ni kwa jinsi isivyo kweli, aende mahakamani akadai fidia kwa defamation.
Lingekuwa la wachochezi lazima wewe ungekuwa mwanachama.
Jamaa anadai hadi cku alioingia freemansory anaijua.Kujua kwamba jay z ni illuminat hauhitaji kuwa illuminat ukiona symbols wanazopotray kwenye video zao unajua....same to bwana nasibu..anavyoonesha vidole vitatu ile sio swaga ni order inabidi afanye vile ndo ..alama ya vidole vitatu ndo inatumika sana sasa hivi..angalia pia video ya drunk in love ya beyonce na jay z utaona...
Hapo inavyoonekana gwajima anaona kuwa free mason ni kosa.ndo maana anataka kutumia kama fimbo ya kumuadhibu diamond si ndio?
Hujui kwamba Tanzania ni mojawapo ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha? Kwa hiyo wanatafuta mahali pa kutolea stress zao kama kwa gwajima and the like (magazeti ya udaku)Na leo watu walifurika kusikia akimchambua Diamond.....Duh Watanzania sijui uwezo wetu wa kufikiri unaishia wapi.
Kuna watu humu ndani wanatetea ufreemason.kwani ni kosa mtu kuwa Freemason?
Kuna watu humu ndani wanatetea ufreemason.kwani ni kosa mtu kuwa Freemason?
Gwajima ni taasisi usimchukulie powa, muulize Bashite atakueleza vizuri.
Na diamond hakutegemei wewe unaburn cd so endelea na huyo nabii wako mpiga sadaka.Leo akizungumza Kanisani, mchungaji Gwajima amesema amemsamehe Msanii Wa mziki nchini Diamond na kuongeza kuwa kama so kuomba msamaha alipanga kumuumbua juu ya namna alivyojiunga, wapi na tarehe aliyojiunga chama cha Freemason. pia ameeleza atatoa video zinazomuonesha pindi akijiunga na harakati zingine.
ikitokea hivi basi diamond nitakukimbia na sitakuwa mshabiki Wa mziki wako tena