Endapo nikaziona Video za Diamond akijiunga freemason, sitashabikia mziki wake tena

Endapo nikaziona Video za Diamond akijiunga freemason, sitashabikia mziki wake tena

Mtarban

Freemason ni nini??

Maana usije ukawa umeingia kwenye mtego wa story za kitaa za kina Sheikh Yahya??
 
Kama kamtuhumu kijana wa watu pasipo kweli, huyo kijan aliychafuliwa ama ni kwa jinsi isivyo kweli, aende mahakamani akadai fidia kwa defamation.
Alivyomuimba Askofu?double standard
 
Kujua kwamba jay z ni illuminat hauhitaji kuwa illuminat ukiona symbols wanazopotray kwenye video zao unajua....same to bwana nasibu..anavyoonesha vidole vitatu ile sio swaga ni order inabidi afanye vile ndo ..alama ya vidole vitatu ndo inatumika sana sasa hivi..angalia pia video ya drunk in love ya beyonce na jay z utaona...
Jamaa anadai hadi cku alioingia freemansory anaijua.
 
Hapo inavyoonekana gwajima anaona kuwa free mason ni kosa.ndo maana anataka kutumia kama fimbo ya kumuadhibu diamond si ndio?

Ukienda kwenye Wikipedia kila kitu kiko pale. Hatupendi kusoma tunapenda ubuyu wa kina gwajima.
 
Na leo watu walifurika kusikia akimchambua Diamond.....Duh Watanzania sijui uwezo wetu wa kufikiri unaishia wapi.
Hujui kwamba Tanzania ni mojawapo ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha? Kwa hiyo wanatafuta mahali pa kutolea stress zao kama kwa gwajima and the like (magazeti ya udaku)
 
Video,, picha wa wap na lini alijiunga dai ndo Freemasonry,,,,,itakua wako chama moja sabab wachungaji ka hawa walitabiriwa watatokea kwa kpnd ka hiki ndo hawa sasa
 
Gwajima ni taasisi usimchukulie powa, muulize Bashite atakueleza vizuri.

Yule si taasisi. Angekuwa taasisi hiyo mipasho ya kanisani kwake asingeendelea kuitoa. Mamlaka iliyomuweka ingemtia nidhamu au kumuondoa.
Kanisa lake haliko authoritative kama rc. Yeye hilo kanisa ni sawa na kabati lake analifanya kama anavyotaka. Na si ajabu ndo maana analiita familia.
 
Na hizi video alizichukuaje kama na yeye siyo walewale ?JG Mungu anakuona ujue.
 
Tatizo nililoliona ni kuwa wengi hawajui freemason ni nini??
Na ukweli kuhusu freemason waupate wapi??

Please nendeni Wikipedia you will get some clue.
 
Huyu Gwajima anapenda umbea na udaku kama demu, yaani muongo muongo tu. Huyu ndio wale aliowamba Ney, waliowaliofumuliwa malinda? [HASHTAG]#Wapo[/HASHTAG]
 
Leo akizungumza Kanisani, mchungaji Gwajima amesema amemsamehe Msanii Wa mziki nchini Diamond na kuongeza kuwa kama so kuomba msamaha alipanga kumuumbua juu ya namna alivyojiunga, wapi na tarehe aliyojiunga chama cha Freemason. pia ameeleza atatoa video zinazomuonesha pindi akijiunga na harakati zingine.

ikitokea hivi basi diamond nitakukimbia na sitakuwa mshabiki Wa mziki wako tena
Na diamond hakutegemei wewe unaburn cd so endelea na huyo nabii wako mpiga sadaka.
 
Simbamason! Hivi Freemason Unajiungajee???? Nahangaika kila siku kutafuta njia Ya kujiunga Sipati
 
Back
Top Bottom