Hii wiki ni wiki ya maumivu kwa mashabiki wa Simba..
1-wamepigwa na azam
2-kafungwa geita wanaumia Simba
3-wana gap la 6 points
4-goli la Aziz ki dhidi ya manula
5-kesho wana kibarua kizito na mtibwa
.kila wakilala wanaweweseka
6.Leo wanamfuka Mgunda na Matola