Hii wiki ni wiki ya maumivu kwa mashabiki wa Simba..
1-wamepigwa na azam
2-kafungwa geita wanaumia Simba
3-wana gap la 6 points
4-goli la Aziz ki dhidi ya manula
5-kesho wana kibarua kizito na mtibwa
.kila wakilala wanaweweseka
Kwa mtazamo huo ulionao, ni dhahiri uelewa wako ni below averageMi si najua mashabiki wa yanga ni weupe mwambie ajibu nimuonyeshe kwamba sijakula ada buree mnaenda lini airport kuwapokea warabu maana ndo kazi mnayoiweza akili mtazitolea wapi
***hichi or hikiNi muhimu sana itawasaidia mashabiki wa yanga wajao wasiende tena airport kupokea team zetu zinapo wakilisha taifa ila mpaka hichi kizazi cha mazezeta kipotee kwanza.
Bado haijaongeaWapumbavu wote,binafsi huwa naangalia Yanga na Simba mechi za kigeni hizo zingine za kipuuzi mnazobebwa sinaga mda.
Just imagine kama mimi nipo hivyo je wale wanaoenda airport kupokea wageni watakuwa na akili za namna gani ndo maana tunarudi pale pale wenye akili ni wawili.Kwa mtazamo huo ulionao, ni dhahiri uelewa wako ni below average