D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
ETII UNAJITETEA NA WEWE NI MNYONGE, Ooooh Etii Unajiambia Mimi Maskini!!!! UNAZINGUA UJUEEEEE!!!!
...Sikufichi ila Kama utakuchagua kuishi kimasikini utakuwa umezingua......ANZA kufuga kuku Chotara wa miezi 5 kumi Tu, katika hao Hakikisha una majogoo mawili na nane waliobaki ni tetea, Kuku hawo wawe wameanza kutaga.
Cha kufanya cha kwanza ni kuanza kukusanya MAYAI Ambapo kwa wastani wa kuku tetea 8 unaweza kuokota mayai 4 hadi 5 kwa siku, so kwa siku tano utakuwa umeokota mayai 20. Jambo la pili ni nunua Incubator(Kitotolesheo) kidogo cha kupokea mayai 60 Hadi 100.
Kila baada ya siku 5 weka mayai yako 20, so baada ya week 3 utakuwa umeanza kupokea vifaranga na ambapo mzunguko ukianza utajikuta kila week utakuwa unaokota vifaranga. kwa makadilio ya chini tuseme unapata vifanga 15 kila week baada ya kuweka mayai 20. Ukipiga hesabu kwa mwezi kuna week 4 × 15=60, So kwa miezi 5 Je utakuwa na kuku 60×5=300.
Na tambua wale vifaranga 60 wa ule mwezi wa kwanza wakati unanza nao tayari wamefikisha miezi 4 na baada ya mwezi mmoja baadae na wenyewe wameanza kutaga, kwahiyo Mayai yao pia unaweka kwenye kitotolesheo. TAFSIRI yake utapata idadi ya kuku mara mbili hadi tatu ya hesabu ya mwanzo mana ukipiga hesabu za wale vifaranga 60 wa mwezi wa mwazo wanakuwa tayari wameanza kutaga hapo so tupige hesabu nyingine hapa ya kuku 60 ambao kwa makisio tuseme tetea ni 50 na waliobaki ni Jogoo na pia fanya unaokota mayai 30 tu kwa siku.
Kama ayo mayai 30 kwa siku 5 ni mayai 150, weka kwenye kitotolesheo, tuseme utapata vifaranga 100 kwa kila siku 5. so kila mwezi 1 ukagawa kwa week 4×100=400 kwa miezi 4×400 = utapata kuku 1600. Chukua awo kuku 1600 + 300 utapa kuku 1900 Baada ya miezi 6 toka uanze uzalishaji.
Andaa mazingira kwa kununua mabox yanayobebea pikipiki zinazotoka nje ya nchi na kuyafanya kama nyumba ya vifaranga kila unawatoa kwenye mashine unawaweka humo.
WEWE ENDELEA KUJIAMBIA NI MASKINI,SIJUI MNYONGE.
sent from my senderx9 lite using jamiiforums mobile app