Endelea kupambana

Endelea kupambana

robbyr

Senior Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
129
Reaction score
221
FB_IMG_1725290897305.jpg

Picha: Pinterest

Mwandishi wa Sianca Sparacino katika kitabu chake cha "The Strength in our scars" anasema kuwa, kovu lako ni kumbukumbu ya mapambano uliyopitia na nguvu uliyo nayo. Lipokee kwa furaha, kwani ni sehemu ya hadithi yako na wewe ni nani.

Huku akiamini kuwa kovu si ishara ya udhaifu, bali ni ya ujasiri na nguvu inayohitajika kushinda changamoto. Jivunie, kwani ni ithibati ya nguvu yako.

Ndipo akazisitizia na kusema, acha makovu yako yawe kumbukumbu kwamba wewe ni muhai, jemadari aliyesimama dhidi ya vikwazo na kujitokeza imara upande mwingine.

Endelea kupambana, ....
 
Back
Top Bottom