Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Asalaam alhkumu.
This is the world we are passing through. Fanya yote tambua iko siku utalala kwenye tumbo la ardhi.
Jifanye mbabe, nguli gaidi n.k kaburi inakusubiri, hela ni mfumo na hela ndo kitu ambacho kinabadilisha watu mwisho kujipa ukuu kwasababu anachambambi chambi.
Endelea na kiburi jifanye mjuaji, maarifa yakizidi mwisho utakufuru aliyekuumba ila utambui kwanza ulianza kuwa (Hisia, mwisho maji yaliyochangika na shahawa mwisho damu mara nyama leo uko Dunian unajikuta mjanja. 😁
Binadamu tunatengeneza siraha kwa sababu ya binadamu wenzetu na wala sio wanyama. Mnyama now yuko mbora kuliko mwanadamu maana wako na huruma kuliko mwanadamu mwenye akili.
kufanikiwa isiwe nafasi ya kumkashifu mwenzako ambaye bado hajajipata (kabla hujafa haujaumbika ) ni suala la muda tu. Na haya ni maisha na tunapita tu.
wanaopotea kwenye uso wa dunia hawaendi china maana hata wanaenda china wanarudi.
JALI UTU WA MTU AISEE. HIZO PESA HAZIWEZI KUKUSAIDIA PINDI UNAHITAJI MSAADA.