Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U making a killing in forex?
no need ya kuwaonesha they dont know what it is keep on grinding broSina maneno mengi na sitaki maswali, asante.View attachment 1150688
Mbona mkipigwa hamtuletei mirejesho humu??
😂 😂 😂 😂Mbona mkipigwa hamtuletei mirejesho humu??
hivi ushawahi nunua odd?FOREX NI WIZII TUU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani ukitoa pesa yako ufundishwa forex ni sawa na mtu anaenunua Odds za kubet kufanikiwa ni ndotooo
Huo ujinga siwezi fanyaahivi ushawahi nunua odd?
Na mimi nikupostie zangu nini???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ninazo za mamilion hapaaHakuna cha wizi wala nini watu tunakung'uta kisawa sawaView attachment 1150761
mimi nanazo za uhakika natengeneza mwenyewe. lakini siuzi najilipua mwenyewe(yaani najiuzia) 😀 😀 😀😀Huo ujinga siwezi fanyaa
Bro..it's real wala sikutanii...mm na ww hatuna utani wala sina sababu ya kukudanganya that is my trade and I am coplete honest with you......tek it or leave it...Na mimi nikupostie zangu nini???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ninazo za mamilion hapaa
Demo iyo njoo real uko ushaivaHakuna cha wizi wala nini watu tunakung'uta kisawa sawaView attachment 1150761
That is a real account....labda kama unataka nikuonyeshe dashboardDemo iyo njoo real uko ushaiva
Wewe tuThat is a real account....labda kama unataka nikuonyeshe dashboard