GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tafadhali naomba mwana JamiiForums yoyote mwenye ule Wimbo uitwao SIRI IMEFICHUKA nadhani uliimbwa na Chidumule au Remmy ( sina uhakika sana na Mtunzi ) aniwekee hapa ili si tu Niusikilize bali pia Niserebuke nao.
Nami nataka kwenda Studio ili nije na hiki Kibao changu ( huu Wimbo wangu ) utakaosema ....."Nitetee kwa Nguvu zako zote..........mbane huyo Kiherehere ili asiniharibie.....hakikikisha unamuadhibu ili Viherehere wengine waogope.....na ukilifanikisha jua nawe pia njia yako hapo ulipo itakuwa salama kubakia kwa mara nyingine kwa miaka mitano....nakuaminia hutoniangusha hasa Wote tukiwa tunafanana Kijnsia....." mwisho wa sehemu ya Maudhui yaliyoko katika Wimbo wangu na ni Imani yangu wana JamiiForums mtaupenda na Kuusikiliza kila mara.
Kudadadeki.....!!