GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
nakuaminia hutoniangusha hasa Wote tukiwa tunafanana KijnsiaGENTAMYCINE SUKARI AUDIO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuaminia hutoniangusha hasa Wote tukiwa tunafanana KijnsiaGENTAMYCINE SUKARI AUDIO
Tukutane Nyamuswa ukiwa unaelekea Butiama, utusalimie kidogo.Nimecheka mpaka basi Mkuu.
Nashukuru kwa Kuliweka wazi japo nakuomba uishie tu hapa kwani napenda Kudharauliwa na Wapumbavu na Washamba ili baadae Uhalisia wangu Kamili wakija Kuuona na Kuujua wajue kuwa GENTAMYCINE siyo wa Level yao na Watu waache Kudharauliana hapa JamiiForums.Jamaa yupo vzr hadi kufikia Serikali ya Uganda kufanya nae kazi ujue siyo mtu wa mchezo mchezo , ingawa Kuna memba humu huwa mnamletea madharau
Unauliza Hasira kwa Wakurya?Umenikumbusha pale mtwara kuna sehemu inaitwa mkalapa.
Ndio kwenu??
Asante sana Mkuu.Umetunukiwa tuzo ya wimbo bora na mtunzi bora wa mwaka bila kusahau mtumbuizaji bora wa mwaka.
Mmmh!Tafadhali naomba mwana JamiiForums yoyote mwenye ule Wimbo uitwao SIRI IMEFICHUKA nadhani uliimbwa na Chidumule au Remmy ( sina uhakika sana na Mtunzi ) aniwekee hapa ili si tu Niusikilize bali pia Niserebuke nao.
Nami nataka kwenda Studio ili nije na hiki Kibao changu ( huu Wimbo wangu ) utakaosema ....."Nitetee kwa Nguvu zako zote..........mbane huyo Kiherehere ili asiniharibie.....hakikikisha unamuadhibu ili Viherehere wengine waogope.....na ukilifanikisha jua nawe pia njia yako hapo ulipo itakuwa salama kubakia kwa mara nyingine kwa miaka mitano....nakuaminia hutoniangusha hasa Wote tukiwa tunafanana Kijnsia....." mwisho wa sehemu ya Maudhui yaliyoko katika Wimbo wangu na ni Imani yangu wana JamiiForums mtaupenda na Kuusikiliza kila mara.
Kudadadeki.....!!
Nimekaribia Mkuu. Nitapita kwa Ndugu zangu ( Wazanaki ) wote na nimeamua nitachukua Likizo ya Wiki Mbili ambapo nataka Wiki Moja nzima ( Siku Saba ) nizimalizie Kijijini Kwangu huku nikifanya nao Shughuli zote za Kijijini kisha Nitambike kwa Kutukuka kabisa katika Mizimu yetu na baada ya hapo niende Busegwe kumuombea Mzee wangu ( Uncle ) Marehemu Mzee Mkono kisha niende Butiama katika Kaburi la Hayati Baba wa Taifa kuchukua Baraka zake zaidi kwani hata Jina langu halisi ninalotumia tokea Nizaliwe alinipa Yeye nilipozaliwa Agha Khan Hospital kisha akawa wa Kwanza kuja Kunibeba akitoke Jirani tu Ikulu ya Magogoni na nikitoka hapo nitaenda kumuona Rafiki yangu mkubwa CDF Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri na nikitoka hapo naenda Musoma Mjini kutembelea baadhi ya Ndugu halafu nitapita Bunda kumtembelea Dada yangu halafu naenda Mwanza kuwaona Kaka na Dada walioko huko kisha narejea zangu Uganda kuendelea na Majukumu yangu ya Kuiheshimisha Tanzania na Watanzania ndani ya Taifa la Uganda lililoniheshimisha pakubwa sana kiaisi kwamba Shukran zote nazipeleka kwa Mwenyezi Mungu kwa MAAJABU yake makubwa na ya Kihistoria Kwangu.Tukutane Nyamuswa ukiwa unaelekea Butiama, utusalimie kidogo.
nakuaminia hutoniangusha hasa Wote tukiwa tunafanana Kijnsia Mkuu kula Chuma hicho / hiki cha Kibwagizo tukuka.Mmmh!
Genius Siku zote huandika ya maana sema tu Wengi wenu kwa Makusudi huwa mnachagua Kutonielewa Mzanaki na Myao Tukuka Mimi GENTAMYCIN
Sasa nimeanza kuelewa sakata lote baada ya kusoma taarifa ya Mpina na kuunganisha na speechGenius Siku zote huandika ya maana sema tu Wengi wenu kwa Makusudi huwa mnachagua Kutonielewa Mzanaki na Myao Tukuka Mimi GENTAMYCINE.
Ukiunganisha taarifa ya Mpina na speech ya Lissu ndipo utaelewa vizuri, maana Lissu yeye ameenda mbali na kumtaja abduli kabisaGenius Siku zote huandika ya maana sema tu Wengi wenu kwa Makusudi huwa mnachagua Kutonielewa Mzanaki na Myao Tukuka Mimi GENTAMYCINE.
Wewe Jamaa yaani umenifanya Nicheke hadi basi. Nikushirikishe katika Kumsema Mtu kwa namna ya AKILI KUBWA au?Kibao safi kabisa GENTAMYCINE
Naomba nishirikishe nichane mistari kuntu humo
Serikali ya Uganda ipi?Jamaa yupo vzr hadi kufikia Serikali ya Uganda kufanya nae kazi ujue siyo mtu wa mchezo mchezo , ingawa Kuna memba humu huwa mnamletea madharau
Mkuu nimeelewa, ila ngumu kumezanakuaminia hutoniangusha hasa Wote tukiwa tunafanana Kijnsia Mkuu kula Chuma hicho / hiki cha Kibwagizo tukuka.
Ya Rais Yoweri Kaguta Museveni. Na najiamini kwa 100% juu ya hili.Serikali ya Uganda ipi?
Sasa hapa ndipo unapovurugaga kwa kupitiliza.Nimekaribia Mkuu. Nitapita kwa Ndugu zangu ( Wazanaki ) wote na nimeamua nitachukua Likizo ya Wiki Mbili ambapo nataka Wiki Moja nzima ( Siku Saba ) nizimalizie Kijijini Kwangu huku nikifanya nao Shughuli zote za Kijijini kisha Nitambike kwa Kutukuka kabisa katika Mizimu yetu na baada ya hapo niende Busegwe kumuombea Mzee wangu ( Uncle ) Marehemu Mzee Mkono kisha niende Butiama katika Kaburi la Hayati Baba wa Taifa kuchukua Baraka zake zaidi kwani hata Jina langu halisi ninalotumia tokea Nizaliwe alinipa Yeye nilipozaliwa Agha Khan Hospital kisha akawa wa Kwanza kuja Kunibeba akitoke Jirani tu Ikulu ya Magogoni na nikitoka hapo nitaenda kumuona Rafiki yangu mkubwa CDF Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri na nikitoka hapo naenda Musoma Mjini kutembelea baadhi ya Ndugu halafu nitapita Bunda kumtembelea Dada yangu halafu naenda Mwanza kuwaona Kaka na Dada walioko huko kisha narejea zangu Uganda kuendelea na Majukumu yangu ya Kuiheshimisha Tanzania na Watanzania ndani ya Taifa la Uganda lililoniheshimisha pakubwa sana kiaisi kwamba Shukran zote nazipeleka kwa Mwenyezi Mungu kwa MAAJABU yake makubwa na ya Kihistoria Kwangu.
aiseee....hasa Wote tukiwa tunafanana Kijnsia
Nikikuita IDIOT usiwe unakataa sawa. Nasisitiza nimezaliwa Agha Khan Hospital Siku ya Jumanne, Saa 12 na dakika 45 Asubuhi chini ya Uangalizi wa Manesi Wawili Aghatha na Brenda. Na kukuonyesha kuwa Wewe ni IDIOT hata Cheti changu cha Kuzaliwa kimeandikwa Agha Hospital ndiko nilikozaliwa.Sasa hapa ndipo unapovurugaga kwa kupitiliza.
Tuliozaliwa miaka ya nyuma Dar martenity ilikuwa ni ocean road, baadaye after 70's ndio ikaja Muhimbili.