NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nimezunguka kwenye mitandao mpaka mtaani mpaka kwa viongozi wa matawi wote wamejifichwa kwenye kivuli za Yanga sc inabebwa na ndiyo maana wamchukua kombe la Nbcpl.
kwani kilichowatoa kwenye kombe la FA kwa kipigo cha mkwaju ya penati huko kigoma napo Yanga walikuja kushiriki kuwatoa??
je mlipochukua ngao ya jamii na Muungano tena kwa ushenzi wa wazi kabisa Ally salimu anadaka kwa kutoka kabla mchezaji hajapiga penati kuna mtu aliongea kwnye ubingwa wenu wa michongo??
kwani mlipotolea kwenye kombe la Mapinduzi tena mlionesha maajabu kwa kumuingiza onana aliyekua hata benchi hayupo je Yanga napo walishiriki kuwatoa huko mapinduzi?
MAONI YANGU: HUU SIYO MUDA WA KULIPA WATU ILI WAISIFIE SIMBA SC KWA KUSEMA YANGA IMEBEBA UKWELI HALISI NI MUDA WA KUTAFAKARI NA KUFANYA USAJILI ULIO BORA NA SIYO KUSAMBAZA PROPAGANDA WAKATI TIMU INAONEKANA INAVYOCHEZA