CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Jamani kila siku tunawaomba hayo mazoezi nendeni hata gymkhana au zungusheni fensi ya mabati kule Bunju hamtaki eti nyie viongozi ni wazungu
Utopolo mwaka huu wamesema liwalo na liwe lazima wachukue ubingwa na mimi naanza amini maneno yao kama huu uzungu feki hautakomeshwa itakuwa too late aisee
Halfu Said Tully ana cheo gani hapo simba kwa sasa? Kaulizeni watu aliosoma nao kama hawajui jamaa ni yanga lialia,na kila nikikumbuka kile kisa chake mwaka ule akiwa kamati ya utendaji eti kaporwa milioni 12 ya gate collection pale sinza nacheka sana, yaani mjumbe akiondoka na mapato ya mlangoni ya team akaenda kuibiwa Sinza leo namuona bado anahusika Simba.
Hivi mko serious kweli, mashabiki tuna mpango wa kuwasusia team lenu sasa maana mnazidiwa mbinu hata mkipewa ushauri hamtaki eti nyie ni wazungu wabongo