Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Unachopaswa kuelewa Simba na Yanga mmiliki wake ni mmoja, kwahiyo hakuna shida yoyote ukimuona mtu wa Simba yupo Yanga au wa Yanga yupo Simba.Duh popoma jamaa unajua mengi sana wycliff keto nilimuona akicheza AfC arusha nikiwa dogo kumbe we braza yangu , SAid Tully sijawahi mwelewega kabisa na kwa jinsi uzungu ulivyo wa kutosha pale simba
mwaka huu huyo Barbara watamuharibia left and right maana kwa mwendo huu wa kukataa kushikilia baadhi ya mambo yetu ya "kiswahili" tuwaachie tu utopolo ubingwa wao, wao wame stick na uswahili wao wakiweka pia na huo "uzungu"
Walioanzisha Sunderland walinyang'anywa timu kitambo na walikuwa Waarabu timu ikakabidhiziwa kina Abunuwasi.
Simba ni jina la kawawa, mambo mazito kama haya huwezi kuyapata kutoka kwa huyo taahira Genta.
Siku utakayosikia Simba inaitwa Simba FC au Yanga FC njoo unidai pesa. Hizo siyo club za football.
Jengo la Simba mtaa wa Msimbazi limejengwa na Karume na jengo la Yanga Jangwani limejengwa na Karume, ndio Yanga wakatoka jengo la mtaa wa Mafia na kuhamia Jangwani.
Huyo Genta ni kinda wa juzi hawezi kuyajuwa haya.