Endeleeni na mazoezi ya wazi Bunju/Boko, endeleeni na uzungu wenu

Unachopaswa kuelewa Simba na Yanga mmiliki wake ni mmoja, kwahiyo hakuna shida yoyote ukimuona mtu wa Simba yupo Yanga au wa Yanga yupo Simba.

Walioanzisha Sunderland walinyang'anywa timu kitambo na walikuwa Waarabu timu ikakabidhiziwa kina Abunuwasi.

Simba ni jina la kawawa, mambo mazito kama haya huwezi kuyapata kutoka kwa huyo taahira Genta.

Siku utakayosikia Simba inaitwa Simba FC au Yanga FC njoo unidai pesa. Hizo siyo club za football.

Jengo la Simba mtaa wa Msimbazi limejengwa na Karume na jengo la Yanga Jangwani limejengwa na Karume, ndio Yanga wakatoka jengo la mtaa wa Mafia na kuhamia Jangwani.

Huyo Genta ni kinda wa juzi hawezi kuyajuwa haya.
 
Mkuu umemaliza......huyu kijana ni mamluki hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…