"ENDLESS THREADS"

"ENDLESS THREADS"

Larkspur

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
205
Reaction score
260
Wakuu habari za jioni..

Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia afya telee, pia wale wote wanaougua kwa namna yoyote ile mwenyezi Mungu apate kuwaponya kwa mapenzi yake.

Ndugu zangu, ni kwa muda sasa nmekuwapo humu JF nkifuatilia threads mbalimbali kutoka kwa members wenzangu, kwa kweli huwa naenjoy sanaa kuwepo humu Kwan kila uchao napata kitu kipya.

Lakini kati ya threads zote kuna hizi nyuzi ambazo mimi binafsi naziona hazitakua na mwisho kutokana na namna znavoendeleaa.

Kwa kuanzia na;

1. Uzi maalumu wa kupeana likes.

Katika uzi huu yani ww hata ukichekaa utapatiwa likes za kutoshaa na kwa kuwa likes hazichukiwi na mtu yeyote humu basi watu hawataweza kukaa mbali na uzi huu.

2.uzi unaoenda kwa jina la "Wa mwisho ndo mshindi"

Sidhan mpaka leo katika uzi huu km wa mwisho ameshapatikana, cha ajabu zaidi sijawaza kuna siku wa mwsho atatokea abda "mods" waamue kumpata.

3. "MAKAPUKU FORUM"

huu nao sidhani km utafikia ukomo ktokana "SISI" wenyewe kuendana na title ya io thread.

Karibuni sanaa nami mnijuze nyuzi ambazo mnahisi zitadumu sana.

Wenu; LARKSPUR
 
Back
Top Bottom