Eneo alipotema mate mwana-ubalozi limeanza kutengenezwa

Congo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2008
Posts
2,081
Reaction score
2,325
Lile eneo la Ukonga Banana ambalo mwana-ubalozi wa Canada alimtemea trafiki mate lilianza kutengenezwa tangu Ijumaa (11.12.2009), siku moja tu baaba ya tukio. Sijui ni kwa sababu ya tukio hilo au ni matengenezo ya kawaida lakini panapotengenezwa ni pale kituoni Banana-ukonga tu (palipokuwa na tukio la kutemea mate). Maaskari pia wameongezwa sehemu ile. Sasa hivi foleni kubwa iliyokuwepo imepungua sana.
 
mambo ya bongo bwana!!!!!!!!!!!!

kumbe mate nayo yanasaidia kuzindua wanamtandao?????????!!!!!!!!!

nafikiri mwakani baada ya uchaguzi muu, mate yatemwe kwa wingi sana na yaanze kutemwa mara moja!!!
 
Mbavu zangu mwe!!! eh! eh!
 
ha ha ha labda wanadhani wanahabari wa Canada watakuja si unajua wabongo anapokuja mzungu?
 
mambo ya bongo bwana!!!!!!!!!!!!

kumbe mate nayo yanasaidia kuzindua wanamtandao?????????!!!!!!!!!

nafikiri mwakani baada ya uchaguzi muu, mate yatemwe kwa wingi sana na yaanze kutemwa mara moja!!!
USISAHAU KUWA YANATAKIWA KUTEMWA NA WAZUNGU! Ole wako wewe mbongo ukateme, utakiona cha mot na barabara wala haitengenezwi.Kama vipi tuwakodishe wazungu wengine wafanye hiyo hkazi ya kutemea mate trafiki.
 
ha ha ha mbavu sina!!
 
Du mkubwa naona tuteme tu ata sisi wabongo...
kama ndo njia pekee ya kuleta mabadiliko!
 
kila mwaka kuwe na siku maalum ya kutema mate nchini ili wakubwa wazinduke
 
hahaaa we Bambo!!! i

itwe 'siku ya kuwatemea mate traffic nchini'

kauli mbiu........
 
mambo ya bongo bwana!!!!!!!!!!!!

kumbe mate nayo yanasaidia kuzindua wanamtandao?????????!!!!!!!!!

nafikiri mwakani baada ya uchaguzi muu, mate yatemwe kwa wingi sana na yaanze kutemwa mara moja!!!

Kwi! kwi! kwi! kwi!... uuuuwiii..... Nimecheka sana!!
 
kila mwaka kuwe na siku maalum ya kutema mate nchini ili wakubwa wazinduke

Ha ha ha ha .... hii lazima iwe line ya wiki (ingawa bado ni monday).

Mbavu zangu zinauma kwa vicheko. Jamani wanajf mnastahili tuzo maalumu.
 
solomon anza kufikiria kauli mbiu ya siku hiyo ....
 
Nilivyofungua tu JF na kusoma hii thread, nilifungua diary yangu na kuandika hii line - nadhani hata siku ya kutoa tuzo kwa wana JF itabidi iwe miongoni mwa kauli mbiu za tukio hilo.
 
kumbe mate ni dawa ya wazembe!!!

ngoja nianze mazoi ya kutema mate japo yafike mita moja mbele. si unajua mate ya mlevi unatema kwa nguvu halafu yanaishia kifuani mwe!!!

leteni kauli mbiu tuifanzie mazoezi
 
usiniambie!!! (am imaginning vile mtu amelewa anaswing afu anajitahidi kutema mate) LOL!!! kazi kweli kweli
 
Nilivyofungua tu JF na kusoma hii thread, nilifungua diary yangu na kuandika hii line - nadhani hata siku ya kutoa tuzo kwa wana JF itabidi iwe miongoni mwa kauli mbiu za tukio hilo.

yaaani duh....hawa ndo 'great thinkers at work'
 
hahaaa we Bambo!!! i

itwe 'siku ya kuwatemea mate traffic nchini'

kauli mbiu........
Kauli Mbiu inaweza kuchaguliwa kati ya hizi:
1. Mate kwa maendeleo ya miundombinu
2. Mate chachu ya maendeleo
3. Mate dawa ya Wazembe

Toeni mapendekezo mengine ili tuchague.
 
hiyo 2 imekaa uzuri.....wanaweza kuoshwa mate watendaji wote wa hovyo hovyo; be it hospitali, secta ya elimu nk.
 
Kauli Mbiu inaweza kuchaguliwa kati ya hizi:
1. Mate kwa maendeleo ya miundombinu
2. Mate chachu ya maendeleo
3. Mate dawa ya Wazembe

Toeni mapendekezo mengine ili tuchague.

nafikiri tuunganishe ya kwanza na ya pili halafu tuongeze vkorombwezo kidogo. japo ni ndefu, lain ni comprehensive enough,napendekeza isomeke hivi:

"mate: silaha muhimu ya wanamtandao katika kufanya maamuzi magumu ya kuharakisha maendeleo ya miundombinu bora pamoja na kuimarisha mahusiano ya kimataifa na nchi wahisani ili kuwinda misaada kisawasawa baada ya rasilimali zetu kuwaachia wachukuaji wanaoitwa wawekezaji"
 
dah! jamani jamani yetu masikio lakini siamini ninachosoma hapa
 
Back
Top Bottom