Eneo gani Dar kwa kijana anayejitafuta anaweza kujenga makazi?

kinshwi

Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
50
Reaction score
178
Kwa wataalamu wa mipango miji na wajuvi wa mambo, ni eneo gani hapa Dar kwa kijana anayejitafuta, mwenye kipato cha kati anaweza kununua Kiwanja kwa lengo la kujenga makazi ya familia ndani ya miaka 5 mpaka 7 ijayo.

Eneo unaloweza kulea familia comfortably na bei za viwanja ni za kizalendo
 
Kivule huko Matembele ya Pili au Mbande, Chanika huko ndio kuna maviwanja bwelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…