Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika, AfCFTA kuanza leo, Tanzania haimo

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC hazitatozwa ushuru wa forodha wakati bidhaa za Tanzania zitatozwa.

Nini athari zake.
 
Kwahiyo unafurahia?
 
Nasemaje East Africa bila ya Tanzania ni sawa na kipofu kumuongoza kipofu mwenzie walishakuja na kitu kama hichi hapo kabla kikafail vibaya..

acha sisi tujiimarishe within kwanza tumesha fikia tra kukusanya 2 trillion tsh.. hii ni speed kubwa kwenye ukusanyaji mapato..
 
nasemaje east africa bila ya tanzania ni sawa na kipofu kumuongoza kipofu mwenzie walishakuja na kitu kama hichi hapo kabla kikafail vibaya..

acha sisi tujiimarishe within kwanza tumesha fikia tra kukusanya 2 trillion tsh.. hii ni speed kubwa kwenye ukusanyaji mapato..
Ni sawa na ngapi za Kenya.
 
Anapoilinganisha Tanzania na Kenya anamaanisha nini kwa mfano?
Acheni kulemba nchi ya TZ kwa sasa imetengwa na marafiki zake kwa sababu za siasa za kumsikiliza mtu mmoja.Yaani MKAPA na KIKWETE wamehangaika kuleta,wawekezaji na nchi hisani kwa Tanzania anakuja mtu mmoja mwenye mihemko yake anawafukuza kwa matendo yake.
 
Serikali za kiafrika kwa kubuni tu wapo vizuri tatizo utekelezaji ndio shida.

Huo ushirikiano tuupe muda tu, utakufa kifo cha mende.
 
Back
Top Bottom