Kwahiyo unafurahia?Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC hazitatozwa ushuru wa forodha wakati bidhaa za Tanzania zitatozwa.
Nini athari zake.
Una maana gani.Kwahiyo unafurahia?
Nasemaje East Africa bila ya Tanzania ni sawa na kipofu kumuongoza kipofu mwenzie walishakuja na kitu kama hichi hapo kabla kikafail vibaya..Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC hazitatozwa ushuru wa forodha wakati bidhaa za Tanzania zitatozwa.
Nini athari zake.
Ameonyesha kufurahia?Kwahiyo unafurahia?
Anapoilinganisha Tanzania na Kenya anamaanisha nini kwa mfano?Ameonyesha kufurahia?
Ni sawa na ngapi za Kenya.nasemaje east africa bila ya tanzania ni sawa na kipofu kumuongoza kipofu mwenzie walishakuja na kitu kama hichi hapo kabla kikafail vibaya..
acha sisi tujiimarishe within kwanza tumesha fikia tra kukusanya 2 trillion tsh.. hii ni speed kubwa kwenye ukusanyaji mapato..
Kulinganisha ndio kufurahia, usijivue ufahamu.Anapoilinganisha Tanzania na Kenya anamaanisha nini kwa mfano?
Kwanini Kenya?!Kulinganisha ndio kufurahia, usijivue ufahamu.
Korosho mkuu.Tutaexport nn!? Bora tusiwepo tu
Unakurupuka kama teja jike,kaza kichwaKwahiyo unafurahia?
kuna sehemu kaonesha kufurahia au kuna imoji ya,kufurahishwaKwahiyo unafurahia?
Hujamjibia swali!Unakurupuka kama teja jike,kaza kichwa
Brexit!kuna sehemu kaonesha kufurahia au kuna imoji ya,kufurahishwa
Acheni kulemba nchi ya TZ kwa sasa imetengwa na marafiki zake kwa sababu za siasa za kumsikiliza mtu mmoja.Yaani MKAPA na KIKWETE wamehangaika kuleta,wawekezaji na nchi hisani kwa Tanzania anakuja mtu mmoja mwenye mihemko yake anawafukuza kwa matendo yake.Anapoilinganisha Tanzania na Kenya anamaanisha nini kwa mfano?
😂😂Wapinzani walituchelewesha Sana....
hongera magufuli na kabudi Kwa kuigeuza Tanzania kuwa jehanamu