Kipindi cha mvua maji mengi Sana, unatakiwa kuweka kingo ndefu za Mabwawa , huwa hayavuki 1Meter above, na yana maintain throughout the year , kwenye kiangazi ndo kama hv yanapungua kdog, hata sasa kwenye maji humo watu wanavua Samaki, hasa kambale na sato make ni maeneo Samaki aina hyo wanapenda sana kuzaliana...Kipindi cha mvua panakuwaga na hali gani hapo
Mkuu eneo la serikali ni meter 60 kutoka maximum wave range, hapo ni meter 160 kuufikia ufukwe wa ziwa, yaan surplus ni meter 100Eneo lililopo kando ya ziwa ni mali ya Jamhuri ni kosa kisheria.
Umbali toka ziwani hadi shambani ni futi ngapi?
we jamaa vipi unuza ardhi oevu . kisheria hiki ni chanzo cha maji; na vyanzovya maji mali ya serikali ya JMTEneo linauzwa Lina ukubwa wa ekari 3, ukihtaji zaidi waweza ongezewa, eneo lipo wilayan Sengerema kando kando ya ziwa , ni Mita 150 toka ziwani, eneo lipo umbali wa km 60 toka katikati ya mji wa Mwanza
Eneo Lina maji mda wote, picha nimezipiga Jana 22.08.2019
View attachment 1188230
View attachment 1188233
View attachment 1188235
Contacts: 0753471878
0621073013