Wu-Ma
Senior Member
- Dec 1, 2017
- 113
- 277
Eneo linauzwa Lina ukubwa wa ekari 3, ukihtaji zaidi waweza ongezewa, eneo lipo wilayan Sengerema kando kando ya ziwa , ni Mita 150 toka ziwani, eneo lipo umbali wa km 60 toka katikati ya mji wa Mwanza
Eneo Lina maji mda wote, picha nimezipiga Jana 22.08.2019
Contacts: 0753471878
0621073013
Eneo Lina maji mda wote, picha nimezipiga Jana 22.08.2019
Contacts: 0753471878
0621073013