Ochoa Real Estate
Member
- Sep 11, 2024
- 33
- 46
Habari za wakati huu...
Eneo linauzwa madale mivumoni...
Lipo karibu na shule ya atlas
Eneo limezungukwa na njia kubwa kabisa pande zote nne...
Eneo lipo tambalale kabisa...š„
Eneo linafaa kwa projects kubwa kama shule,hospital na hata viwanja vya michezo au sports academy..
Pia kwa wale wafanya biashara ya kununua maeneo ya kulenga na kukata viwanja hii biashara mujarab kabisa isiyo na shaka ndani yake...
Eneo lote lina hekari saba(7) yaani sqm 28,000 (skwea mita elfu ishirini na nane)
Eneo linauzwa kwa tzs 50,000 tu kwa sqm moja (elfu 50 kwa skwea mita moja)
Kama unataka kukata viwanja kwa sasa madale mivumoni mitaa ya eneo lilipo sqm moja inauzwa elfu 80
Eneo zima lina sqm 28000 linauzwa elfu 50 kwa sqm inamaana jumla linauzwa tzs bilioni 1.4 na maongezi yapo kidogo...
Hii sio ya kukosa kwa wale wenye malengo ya kuwekeza kweny shule,hospital,sports academy nk...
Kwa wale wazee wa kulenga lenga eneo hili kata viwanja uza elfu 75 kwa sqm moja viishe haraka kama mchezo vileee...
Ndani ya miezi sita mpaka mwaka utakuwa umekusanya faida ya milioni 560 ukitoa gharama za kupima na pesa ya madalali pia...
Kama kawaida yangu sijawahi kuleta biashara isiyo nyooka...
Nipigie sasa kwa maelezo zaidi na kuliona eneo...
Nikukutanishe na muuzaji ulipie
Hii biashara ya kuichangamkia hii...
āļø +255 699 255 530