Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Redio ya Jeshi la Israeli:

Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa..
=========================
Israeli Army Radio:

A 7.7-decare area on Mount Herzl will be transferred to the Israeli Ministry of Defense in order to provide a place to bury the dead Israeli soldiers..

View: https://x.com/currentreport1/status/1857030761787904207?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Netanyahu naamini hii ndio vita ya kwanza kwake kuona madhala ya vita ile siku anatangaza vita alidhani mambo yatakuwa mtelezo nakumbuka alisema Hamas wajisalimishe kitu alijua itakuwa ngumu kwa Hamas leo vita vimesababisha vifo vingi ambavyo vingeweza epukwa.
 
Bora wafe kadhaa leo ili kulinda vifo vingi baadae. Hivi unaijua katiba ya Hamas inasemaje kuhusu Taifa la Israel? Waisrael wangechelewa, huenda nchi yao ingefutwa kwenye ramani ya dunia. Bado naona pamoja na vifo hivyo, maamuzi ya Netanyahu yalikuwa na bado yako sahihi.
 
Shetanyahu ana tabia ya kujifanya mbabe hata kama hana huo ubabe. Hi vita Israel alijiopanga karibu miaka miwili anafanya mazoezi, na miaka mitano ya kustore silaha za kila aina. Alitegemea ataweza kupigana vita vitatu kwa wakati mmoja. Yeye na mke wake wameiba pesa nyingi sana anaogopa kusema kashindwa vita ataburuzwa mahakamani, kwa hio nyau kamua kubaki na mfupa hata kama hauna nyama 🤣
 
Unadhani katiba ya hamas itabadilika israhell kiuhalisia inatakiwa ifutwe ili amani ipatikanwe duniani na mashariki ya kati
 
Wakae mezani,wamalize tofauti zao.
Nipe wapi Israel katekeleza resolution hata moja za UN, kwanza US anatumia veto zinazo pita. Nipe nchi gani inaweza kupiga wanajeshi wa UN, mfano hao wa Lebanon UNIFIL isipo kuwa hao wenye lana ya kudhuru Mitume wa Mungu. Mmesahau walimtundika Yesu msalabani, afu vichaa wanasema Israel taifa la Mungu na Yesu eti Mungu ni kichaa pekee yake ndio anaweza kudeal na hawa au kuamini hayo 🤣
 
Kabisa kuwaamini wazayuni ni bora uamini simba ama mamba wameacha kula nyama wazayuni hawafai
 
Shetanyahu ana tabia ya kujifanya mbabe hata kama hana huo ubabe. Hi vita Israel alijiopanga karibu miaka miwili anafanya mazoezi, na miaka mitano ya kustore silaha za kila aina. Alitegemea ataweza kupigana vita vitatu kwa wakati mmoja. Yeye na mke wake wameiba pesa nyingi sana anaogopa kusema kashindwa vita ataburuzwa mahakamani, kwa hio nyau kamua kubaki na mfupa hata kama hauna nyama 🤣

View: https://x.com/suppressednws/status/1857440047651336344?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Israel wamechanganyokiwa tuliaminishwa zamani na vyombo vyao vya habari vya propaganda. Kuwa Israel ni makomandoo hawashidwi vita wana akili kuzidi binadamu wote, leo mwaka na zaidi wamenasa Gaza kaeneo kwenyewe kigamboni kubwa halafu eti anajitapa anaishambulia Iran, leo hii wanaanda sehemu kuzika wanajeshi😂
 
Nasikia kule Israel wakisikia tu mlango unagongwa usiku wananza kulia kilio kwamba jeshi limekuja wambia mtoto wao kafa, au ndugu yao kafa, au mme wake kafa au baba yake kafa . Waisrael wanapata wehu. Nyau ndio kwanza anawambia bado, simnataka kunipeleka mahakamani, na mimi nawapeleka motoni na wengine hospital za kutibu wehu 😄
 
Shetanyahu ana tabia ya kujifanya mbabe hata kama hana huo ubabe. Hi vita Israel alijiopanga karibu miaka miwili anafanya mazoezi, na miaka mitano ya kustore silaha za kila aina. Alitegemea ataweza kupigana vita vitatu kwa wakati mmoja. Yeye na mke wake wameiba pesa nyingi sana anaogopa kusema kashindwa vita ataburuzwa mahakamani, kwa hio nyau kamua kubaki na mfupa hata kama hauna nyama 🤣
🤣🤣🔨
 
Back
Top Bottom