Bora wafe kadhaa leo ili kulinda vifo vingi baadae. Hivi unaijua katiba ya Hamas inasemaje kuhusu Taifa la Israel? Waisrael wangechelewa, huenda nchi yao ingefutwa kwenye ramani ya dunia. Bado naona pamoja na vifo hivyo, maamuzi ya Netanyahu yalikuwa na bado yako sahihi.Netanyahu naamini hii ndio vita ya kwanza kwake kuona madhala ya vita ile siku anatangaza vita alidhani mambo yatakuwa mtelezo nakumbuka alisema Hamas wajisalimishe kitu alijua itakuwa ngumu kwa Hamas leo vita vimesababisha vifo vingi ambavyo vingeweza epukwa.
Shetanyahu ana tabia ya kujifanya mbabe hata kama hana huo ubabe. Hi vita Israel alijiopanga karibu miaka miwili anafanya mazoezi, na miaka mitano ya kustore silaha za kila aina. Alitegemea ataweza kupigana vita vitatu kwa wakati mmoja. Yeye na mke wake wameiba pesa nyingi sana anaogopa kusema kashindwa vita ataburuzwa mahakamani, kwa hio nyau kamua kubaki na mfupa hata kama hauna nyama 🤣Netanyahu naamini hii ndio vita ya kwanza kwake kuona madhala ya vita ile siku anatangaza vita alidhani mambo yatakuwa mtelezo nakumbuka alisema Hamas wajisalimishe kitu alijua itakuwa ngumu kwa Hamas leo vita vimesababisha vifo vingi ambavyo vingeweza epukwa.
Unadhani katiba ya hamas itabadilika israhell kiuhalisia inatakiwa ifutwe ili amani ipatikanwe duniani na mashariki ya katiBora wafe kadhaa leo ili kulinda vifo vingi baadae. Hivi unaijua katiba ya Hamas inasemaje kuhusu Taifa la Israel? Waisrael wangechelewa, huenda nchi yao ingefutwa kwenye ramani ya dunia. Bado naona pamoja na vifo hivyo, maamuzi ya Netanyahu yalikuwa na bado yako sahihi.
Wakae mezani,wamalize tofauti zao.Unadhani katiba ya hamas itabadilika israhell kiuhalisia inatakiwa ifutwe ili amani ipatikanwe duniani na mashariki ya kati
Nipe wapi Israel katekeleza resolution hata moja za UN, kwanza US anatumia veto zinazo pita. Nipe nchi gani inaweza kupiga wanajeshi wa UN, mfano hao wa Lebanon UNIFIL isipo kuwa hao wenye lana ya kudhuru Mitume wa Mungu. Mmesahau walimtundika Yesu msalabani, afu vichaa wanasema Israel taifa la Mungu na Yesu eti Mungu ni kichaa pekee yake ndio anaweza kudeal na hawa au kuamini hayo 🤣Wakae mezani,wamalize tofauti zao.
Israhell ukikaa nae mezani haelewi walishakaa nae sana mezani ila anawaona watu mabwege waliekeana mipaka ya 63 kama sijakosea jamaa kasomba yote lugha pekee mzayuni anayo ielewa hamas anaijuaWakae mezani,wamalize tofauti zao.
Kabisa kuwaamini wazayuni ni bora uamini simba ama mamba wameacha kula nyama wazayuni hawafaiNipe wapi Israel katekeleza resolution hata moja za UN, kwanza US anatumia veto zinazo pita. Nipe nchi gani inaweza kupiga wanajeshi wa UN, mfano hao wa Lebanon UNIFIL isipo kuwa hao wenye lana ya kudhuru Mitume wa Mungu. Mmesahau walimtundika Yesu msalabani, afu vichaa wanasema Israel taifa la Mungu na Yesu eti Mungu ni kichaa pekee yake ndio anaweza kudeal na hawa au kuamini hayo 🤣
Asante kwa kunielewa.Unadhani katiba ya hamas itabadilika israhell kiuhalisia inatakiwa ifutwe ili amani ipatikanwe duniani na mashariki ya kati
Shetanyahu ana tabia ya kujifanya mbabe hata kama hana huo ubabe. Hi vita Israel alijiopanga karibu miaka miwili anafanya mazoezi, na miaka mitano ya kustore silaha za kila aina. Alitegemea ataweza kupigana vita vitatu kwa wakati mmoja. Yeye na mke wake wameiba pesa nyingi sana anaogopa kusema kashindwa vita ataburuzwa mahakamani, kwa hio nyau kamua kubaki na mfupa hata kama hauna nyama 🤣
Nasikia kule Israel wakisikia tu mlango unagongwa usiku wananza kulia kilio kwamba jeshi limekuja wambia mtoto wao kafa, au ndugu yao kafa, au mme wake kafa au baba yake kafa . Waisrael wanapata wehu. Nyau ndio kwanza anawambia bado, simnataka kunipeleka mahakamani, na mimi nawapeleka motoni na wengine hospital za kutibu wehu 😄Israel wamechanganyokiwa tuliaminishwa zamani na vyombo vyao vya habari vya propaganda. Kuwa Israel ni makomandoo hawashidwi vita wana akili kuzidi binadamu wote, leo mwaka na zaidi wamenasa Gaza kaeneo kwenyewe kigamboni kubwa halafu eti anajitapa anaishambulia Iran, leo hii wanaanda sehemu kuzika wanajeshi😂
🤣🤣🔨Shetanyahu ana tabia ya kujifanya mbabe hata kama hana huo ubabe. Hi vita Israel alijiopanga karibu miaka miwili anafanya mazoezi, na miaka mitano ya kustore silaha za kila aina. Alitegemea ataweza kupigana vita vitatu kwa wakati mmoja. Yeye na mke wake wameiba pesa nyingi sana anaogopa kusema kashindwa vita ataburuzwa mahakamani, kwa hio nyau kamua kubaki na mfupa hata kama hauna nyama 🤣