green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Haya magaidi yamekufa kama nzige aise ilo eneo sidhani kama litatoshaWanaukumbi.
Redio ya Jeshi la Israeli:
Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa..
=========================
Israeli Army Radio:
A 7.7-decare area on Mount Herzl will be transferred to the Israeli Ministry of Defense in order to provide a place to bury the dead Israeli soldiers..
View: https://x.com/currentreport1/status/1857030761787904207?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mkuu Bado Israel wapo Lebanon au walishajitoa?Uamuzi kuvamia Gaza, Lebanon na kupiga maeneo mengineyo ni sahihi kabisa, Netanyau anastahili pongezi kubwa
Kwa mazingira yaliyocyo hao magaidi walijipanga kikamilifu sana wakisaidiwa na Iran na Israel wangechelewa basi kidogo pengine hali yao kama taifa ingekuwa matatani
Kuhusu vifo vingi vya IDF inathibitisha kuwa magaidi walijiandaa , acha hao wanajeshi wafe Ili taifa teule liendelee kuwepo
Wanapeleka ndege inaangusha mabomu inaondoka🤠🤠🤠....kwenye ground Kila wakiingia yanarudi maboksi au majeruhi wanaenda kuwa viwete....ila wanajeshi Wana kazi ngumu sana....yaani mwanasiasa anakuambia nenda pale ukifika unalipuliwa miguu inakatika ukirudi unapewa I Phone.....Netapaka ana kazi ya kujieleza sana kwa raia wake siku vita ikishaisha.....vifo na vilema visivyo na msingi alivyowasababishiqMkuu Bado Israel wapo Lebanon au walishajitoa?
Kichaa kweli kweli nilimuona anavyo mtazama kwa dharau ikiwa Nasurlah kwenye vita vya 2006 aliposhika wale mateka alisema hata duniani nzima ije kumsaidia Israel hawawezi kukomba hao walio tekwa ndio waweze kuwan'yan'ga silaha. Kichaa kweli kweli nilikuwa namsikiliza mwanahabari mmoja wa Lebanon anasema Israel hawezi kuzuia silaha kuingia wala hawezi kuzivunja. Alisema Israel anapigana na ile safu ya mwanzo ya Hezbullah kuna safu tatu hio ya mwanzo kushindwa kuipenya na akibahatika kupenya. basi ya pili itawarudisha wote maiti.Yule Waziri wa Ulinzi mpya anachekesha sana anamwambia Mkuu wake wa Majeshi hawanyanganye Hezbollah silaha 😀 yule Mkuu wa Majeshi alibakia kumuangalia tu.
Ukifata mafunzo ya Kiyahudi kuna baadhi ya Wayahudi wanamini hakuna pepo ni bora hata mkristo anamini kuna pepo wanaita uzima wa milele, ubaya wamkristo hajui uzima wa milele pia upo motoni 😂Mbona me naona mawe tu! Ndo makaburi Yao au?
Kichaa kweli kweli nilimuona anavyo mtazama kwa dharau ikiwa Nasurlah kwenye vita vya 2006 aliposhika wale mateka alisema hata duniani nzima ije kumsaidia Israel hawawezi kukomba hao walio tekwa ndio waweze kuwan'yan'ga silaha. Kichaa kweli kweli nilikuwa namsikiliza mwanahabari mmoja wa Lebanon anasema Israel hawezi kuzuia silaha kuingia wala hawezi kuzivunja. Alisema Israel anapigana na ile safu ya mwanzo ya Hezbullah kuna safu tatu hio ya mwanzo kushindwa kuipenya na akibahatika kupenya. basi ya pili itawarudisha wote maiti.
Pia nilicheka alisema zamani Israel anajisifia hakuna kifaru kama Merkava kinawaprotect askari wa Israel, leo anasema hizo Merkava anatangulia askari wa Israel mbele kuiprotect hapo ndio ujue vipi wa Israel wajinga 🤣
Yule Waziri wa Ulinzi mpya anachekesha sana anamwambia Mkuu wake wa Majeshi hawanyanganye Hezbollah silaha 😀 yule Mkuu wa Majeshi alibakia kumuangalia tu.
Israhell hata wa Kenya au watanzania hatuwezi yuleIsrael wamechanganyokiwa tuliaminishwa zamani na vyombo vyao vya habari vya propaganda. Kuwa Israel ni makomandoo hawashidwi vita wana akili kuzidi binadamu wote, leo mwaka na zaidi wamenasa Gaza kaeneo kwenyewe kigamboni kubwa halafu eti anajitapa anaishambulia Iran, leo hii wanaanda sehemu kuzika wanajeshi😂
Hata Hamas na hizbullah wapo sana hao wateuleUamuzi kuvamia Gaza, Lebanon na kupiga maeneo mengineyo ni sahihi kabisa, Netanyau anastahili pongezi kubwa
Kwa mazingira yaliyocyo hao magaidi walijipanga kikamilifu sana wakisaidiwa na Iran na Israel wangechelewa basi kidogo pengine hali yao kama taifa ingekuwa matatani
Kuhusu vifo vingi vya IDF inathibitisha kuwa magaidi walijiandaa , acha hao wanajeshi wafe Ili taifa teule liendelee kuwepo
Naona mungu wao analala chini siku hizi maana vitanda vyake vinabomolewa tuuu
Wazayuni kwa hakika wamefyekwa sana hii vita hawataisahauKichaa kweli kweli nilimuona anavyo mtazama kwa dharau ikiwa Nasurlah kwenye vita vya 2006 aliposhika wale mateka alisema hata duniani nzima ije kumsaidia Israel hawawezi kukomba hao walio tekwa ndio waweze kuwan'yan'ga silaha. Kichaa kweli kweli nilikuwa namsikiliza mwanahabari mmoja wa Lebanon anasema Israel hawezi kuzuia silaha kuingia wala hawezi kuzivunja. Alisema Israel anapigana na ile safu ya mwanzo ya Hezbullah kuna safu tatu hio ya mwanzo kushindwa kuipenya na akibahatika kupenya. basi ya pili itawarudisha wote maiti.
Pia nilicheka alisema zamani Israel anajisifia hakuna kifaru kama Merkava kinawaprotect askari wa Israel, leo anasema hizo Merkava anatangulia askari wa Israel mbele kuiprotect hapo ndio ujue vipi wa Israel wajinga 🤣
Naona mungu wao analala chini siku hizi maana vitanda vyake vinabomolewa tuuu
Wazayuni wa jf na wakule teli avivu walitutangazia kwamba washaisafisha Ghaza kaskazini dhidi ya hamas hawa itakua wamekufa kwa Malaria
Wazayuni wa jf na wakule teli avivu walitutangazia kwamba washaisafisha Ghaza kaskazini dhidi ya hamas hawa itakua wamekufa kwa Malaria