Thamani ya kiwanja kwenye eneo lilipo shamba hili ni kati ya shilingi 12,000.0 hadi 18,000.0 per square meter. Hii ni ekari ya 70meters by 70 meters(proper meters na sio hatua) that means ni 4900sqm
Fanya utafiti japo kidogo cariha. Mapinga na Kerege distance ya 2.5 km kutoka Bagamoyo Road mkono wa kulia kama unaenda Bagamoyo viwanja vya 20×20 ni kiasi gani? Tena eneo likiwa tambarare, bomba kubwa la maji limepita karibu na umeme upo
Kwa kukusaidia maeneo hayo 20×20 ni kati ya shilingi 5,000,000.0 hadi 8,000,000.0 kutegemea na location na jiografia ya kiwanja
Kwa bei ya kutupa kwa mfano shilingi 8000 per sqm nikiamua kukata viwanja nitapata zaidi ya hiyo. Na kuna jirani zangu wameuza maeneo yao kwa bei zaidi ya hiyo. Sema mimi sio muumini wa kupima viwanja vya 20×20. Huwa naona ni uharibifu wa ardhi na upangaji mbaya wa makazi