Mr Excel
JF-Expert Member
- Jul 31, 2021
- 526
- 1,675
Ukiwaza haya Mkuu utashindwa kufanya maendeleo kabisaHuko Nako Kuna Mikasa Sana
Kuna Thread Aliyejenga Nyumba Huko Ikawa Tabu
Kuna Thread Aliyefuga Majoka Ikawa Tabu Kukamua Sumu
Haa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwaza haya Mkuu utashindwa kufanya maendeleo kabisaHuko Nako Kuna Mikasa Sana
Kuna Thread Aliyejenga Nyumba Huko Ikawa Tabu
Kuna Thread Aliyefuga Majoka Ikawa Tabu Kukamua Sumu
Haa
Kupanga Ni Kuchagua MkuuUkiwaza haya Mkuu utashindwa kufanya maendeleo kabisa
Ni kweli ila masuala haya ya uswahili yapo tu.Kupanga Ni Kuchagua Mkuu
Hayo Yapo Nilikuwa Kasulu MurusiNi kweli ila masuala haya ya uswahili yapo tu.
Kikubwa imani tu maan huwezi hama mji
Hahahaha naelewa naelewaHayo Yapo Nilikuwa Kasulu Murusi
Sasa Hivi Nipo Kayanga Yapo
Tanzania Yote Yapo Ila Hatusemi
Naomba uniunganishe na huyo jirani yako tafadhali
Donkey,Kwanini Kuna tabia ya kujipangia bei ya ardhi kwa unavyotaka. Nashauri kuwepo na sheria ya kupanga bei ya viwanja na kila kiwanja kilipiwe kodi wakati wa kuuzwa
Unauza kiwanja ishirini ni kuharibu tu ardhi na nyumba kubanana kama za SinzaThamani ya kiwanja kwenye eneo lilipo shamba hili ni kati ya shilingi 12,000.0 hadi 18,000.0 per square meter. Hii ni ekari ya 70meters by 70 meters(proper meters na sio hatua) that means ni 4900sqm
Fanya utafiti japo kidogo cariha. Mapinga na Kerege distance ya 2.5 km kutoka Bagamoyo Road mkono wa kulia kama unaenda Bagamoyo viwanja vya 20×20 ni kiasi gani? Tena eneo likiwa tambarare, bomba kubwa la maji limepita karibu na umeme upo
Kwa kukusaidia maeneo hayo 20×20 ni kati ya shilingi 5,000,000.0 hadi 8,000,000.0 kutegemea na location na jiografia ya kiwanja
Kwa bei ya kutupa kwa mfano shilingi 8000 per sqm nikiamua kukata viwanja nitapata zaidi ya hiyo. Na kuna jirani zangu wameuza maeneo yao kwa bei zaidi ya hiyo. Sema mimi sio muumini wa kupima viwanja vya 20×20. Huwa naona ni uharibifu wa ardhi na upangaji mbaya wa makazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko Nako Kuna Mikasa Sana
Kuna Thread Aliyejenga Nyumba Huko Ikawa Tabu
Kuna Thread Aliyefuga Majoka Ikawa Tabu Kukamua Sumu
Haa
Umeona eeh cariha!? Viwanja vya 20×20 ni upangaji holela wa miji.Unauza kiwanja ishirini ni kuharibu tu ardhi na nyumba kubanana kama za Sinza